chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike.
Haijalishi gari la Ambulance au la maiti lisiwe na jeneza ndani tu.
Kuna mdogo wangu tokea kapewa gari naona anamaliza watoto wa mtaani na viunga vyake kisa tu gari.
Wanawake mnaamini gari ndio mwanaume bora kashushwa kwenye chaguo lako!