Wanawake mbona mnaamini wanaume wenye magari kuliko matendo au tabia zao?

Wanawake mbona mnaamini wanaume wenye magari kuliko matendo au tabia zao?

Mpaka amepata mtu wa kumpa gari hata ya kupiga misele,huyo akili ipo kichwani!!sasa wewe hata kujichanganya mtaani huwezi,huna social skills,ukikosa ajira ya kuajiliwa,huwezi ku survive mtaani,mwenzio anaweza kujichanganya,

[emoji23] JF bwana yani Magari kwangu sio dili na yapo tu nayatizama ndani sina mda mnao. Ukiwa kijana ndio utaona hayo ila umri ukifika utaona ni usafiri mbadala
 
Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike...
Namheshim Sana aliyeanza kujenga.. mengine yakafwata.

Wanatupata Kwa Muda mdogo tu, lakini wamama tunaakili IQ kuu..uroda wa Muda mfupi una ubaya gani wewe baba.

Kwangu mie mwenye nyumba big up sana
 
Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike.

Haijalishi gari la Ambulance au la maiti lisiwe na jeneza ndani tu.

Kuna mdogo wangu tokea kapewa gari naona anamaliza watoto wa mtaani na viunga vyake kisa tu gari.

Wanawake mnaamini gari ndio mwanaume bora kashushwa kwenye chaguo lako!
wanaomiliki bajaji nao vipi ? wanawekwa kwenye kundi hili?
 
Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike.

Haijalishi gari la Ambulance au la maiti lisiwe na jeneza ndani tu.

Kuna mdogo wangu tokea kapewa gari naona anamaliza watoto wa mtaani na viunga vyake kisa tu gari.

Wanawake mnaamini gari ndio mwanaume bora kashushwa kwenye chaguo lako!Lp
Hahaha
 
Back
Top Bottom