exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka amepata mtu wa kumpa gari hata ya kupiga misele,huyo akili ipo kichwani!!sasa wewe hata kujichanganya mtaani huwezi,huna social skills,ukikosa ajira ya kuajiliwa,huwezi ku survive mtaani,mwenzio anaweza kujichanganya,
Namheshim Sana aliyeanza kujenga.. mengine yakafwata.Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike...
Endelea na maandamano TcherieJua kalisana my wangu😂😂
..uroda wa Muda mfup
Pesa gani mbona manara na AY wanateseka kwenye mapenzi licha ya kuwa na pesa.
wanaomiliki bajaji nao vipi ? wanawekwa kwenye kundi hili?Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike.
Haijalishi gari la Ambulance au la maiti lisiwe na jeneza ndani tu.
Kuna mdogo wangu tokea kapewa gari naona anamaliza watoto wa mtaani na viunga vyake kisa tu gari.
Wanawake mnaamini gari ndio mwanaume bora kashushwa kwenye chaguo lako!
HahahaMwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike.
Haijalishi gari la Ambulance au la maiti lisiwe na jeneza ndani tu.
Kuna mdogo wangu tokea kapewa gari naona anamaliza watoto wa mtaani na viunga vyake kisa tu gari.
Wanawake mnaamini gari ndio mwanaume bora kashushwa kwenye chaguo lako!Lp
#agHahaha
Ndo nn#ag
#Itator