[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umerudi chautundu?Huyo dawa yake unamnunulia maembe mabichi na chumvi.
Au miwa ya buku 2 akatafune nyumbani huko.
Aiseee nimerudi aiseeee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umerudi chautundu?
Hapana Mchemsho kwani mi Mzazi bwanaa... Lete makange ya kuku..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah basi aletewe mchemshooo
Teh teh teh..Huyo dawa yake unamnunulia maembe mabichi na chumvi.
Au miwa ya buku 2 akatafune nyumbani huko.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Huyo dawa yake unamnunulia maembe mabichi na chumvi.
Au miwa ya buku 2 akatafune nyumbani huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umerudi chautundu?
Akisema chochote mpe ugali mwekundu ndo utaona kama anataka chochote au la!Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada
‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.
Wewe: Ehe utakula nini switii?
Mdada: Chochote
Wewe: Nikuagizie ice cream
Mdada: Hapana meno yanauma
Wewe: Haya wacha walete chips kuku
Mdada: Jamani kila siku chips kuku leo tubadilishe
Wewe: Toa wazo basi unataka kula nini
Mdada: Chochote
Ipo haja ya kumuandikia meseji ili ataje anachokipenda, manake wanapenda kuviyaja wavipendavyo kwenye sms[emoji23] [emoji23]hapo unnajiagizia supu ya pweza unajinywea taratibu. akishindwa kujiagizia ajue atagegedwa na njaa.
Wanawake wengi wa kibongo wBaada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada
‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.
Wewe: Ehe utakula nini switii?
Mdada: Chochote
Wewe: Nikuagizie ice cream
Mdada: Hapana meno yanauma
Wewe: Haya wacha walete chips kuku
Mdada: Jamani kila siku chips kuku leo tubadilishe
Wewe: Toa wazo basi unataka kula nini
Mdada: Chochote