Wanawake mkiambiwa hamjui mnachotaka mnalalama, muone huyu mwenzenu

Wanawake mkiambiwa hamjui mnachotaka mnalalama, muone huyu mwenzenu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada
‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.
Wewe: Ehe utakula nini switii?
Mdada: Chochote
Wewe: Nikuagizie ice cream
Mdada: Hapana meno yanauma
Wewe: Haya wacha walete chips kuku
Mdada: Jamani kila siku chips kuku leo tubadilishe
Wewe: Toa wazo basi unataka kula nini
Mdada: Chochote
 
Huyo dawa yake unamnunulia maembe mabichi na chumvi.

Au miwa ya buku 2 akatafune nyumbani huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umerudi chautundu?
 
hapo unnajiagizia supu ya pweza unajinywea taratibu. akishindwa kujiagizia ajue atagegedwa na njaa.
 
Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada
‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.
Wewe: Ehe utakula nini switii?
Mdada: Chochote
Wewe: Nikuagizie ice cream
Mdada: Hapana meno yanauma
Wewe: Haya wacha walete chips kuku
Mdada: Jamani kila siku chips kuku leo tubadilishe
Wewe: Toa wazo basi unataka kula nini
Mdada: Chochote
Akisema chochote mpe ugali mwekundu ndo utaona kama anataka chochote au la!
 
hapo unnajiagizia supu ya pweza unajinywea taratibu. akishindwa kujiagizia ajue atagegedwa na njaa.
Ipo haja ya kumuandikia meseji ili ataje anachokipenda, manake wanapenda kuviyaja wavipendavyo kwenye sms[emoji23] [emoji23]
 
Wee nawe unakuwa mgumu kumuelewa mschana huyo, yakupasa utafute kamusi ya kumuelewa mschana.

Hapo alikuwa anataka uende ukampe mambo, wee siku zote hizo umembembelezaa weeh sasa kukubali unampeleka akale chakula kwani alikwambia muda wote hio alikuwa hali.....

Siku ingine akisema hivo unamkamata mkono unachukua usafiri hadi kwako, kama unajua kupika pia chochote kilichopo kwako mradi kiive
tuu. Hapo ukishamkaribisha unamnawisha
mikono baada ya kula mvute kitandani fanya yako. Sasa ole wako ufanye kichovu. .........
 
Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada
‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.
Wewe: Ehe utakula nini switii?
Mdada: Chochote
Wewe: Nikuagizie ice cream
Mdada: Hapana meno yanauma
Wewe: Haya wacha walete chips kuku
Mdada: Jamani kila siku chips kuku leo tubadilishe
Wewe: Toa wazo basi unataka kula nini
Mdada: Chochote
Wanawake wengi wa kibongo w
Hawajui wanataka nini.
 
Back
Top Bottom