Wanawake mkiambiwa hamjui mnachotaka mnalalama, muone huyu mwenzenu

Wanawake mkiambiwa hamjui mnachotaka mnalalama, muone huyu mwenzenu

Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada
‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.
Wewe: Ehe utakula nini switii?
Mdada: Chochote
Wewe: Nikuagizie ice cream
Mdada: Hapana meno yanauma
Wewe: Haya wacha walete chips kuku
Mdada: Jamani kila siku chips kuku leo tubadilishe
Wewe: Toa wazo basi unataka kula nini
Mdada: Chochote
Nakuapia naagiza msosi wangu mwenyewe naukandamiza akiniangalia nikimaliza nalipa kisha namwambia tende zetu!
 
Acha uzembe wewe, fasta ungemuita mhudumu wa hilo eneo lenu la outing, kisha unamwambia "NAOMBA MHUDUMIE HUYU CHOCHOTE KISHA NILETEE BILI"
 
Back
Top Bottom