Na ni MAUA kama WARIDI uyaonapo uhai ukujia tena. Bila sisi wanawake wanaume mngeuana ovyo, maana ni kwa kupitia sauti zetu za upole na mioyo yetu ya huruma AMANI inakuwepo duniani. Ni kwasababu ya wanawake , wanaume wanaitafuta hiyo pesa. Nguvu aliyonayo mwanamke ni kubwa kuliko MISULI ya mwanaume imejifumbata huioni kwa macho.Japo wanatuita viumbe dhaifu lakini wanakili moyoni POWER kubwa tuliyo pewa.Nashukuru Mungu kwa kuzaliwa nilivyo
Uzi kama huu mlitakiwa muushadadie japo kwa kusema "Hallo hallooo............" lakini mko kimya matokeo yake mnawaacha baadhi ya wanaume wanauvunja vunja, na kumfanya Ndyoko aonekane kama vile anawa-tweza.
hongereni wanawake kwa kututunzia siri zetu. Nalog off
Kusema ukweli as frm last week, nina perception tofauti sana ya wanawake! Mwanamke ni wa kuogopa. Si bure mlivyoamriwa kuwa muishi nao kwa akili
...lahaula wala quwwata! Soulmate vipi tena yarabi? ...pokea nakutunikia..
Hakya nani,mkuu wangu wanawake nawaogopa saana,yaani imefika pahali cna imani na mwanamke zaidi ya mamaangu alonizaa na kunilea mpaka leo nimefika hapa,siwaamini kabisa i'm living with them in a gambling way!Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!
Mke anaweza fanya maamuzi magumu kama kuusia wapi azikwe akifa na asimuhusishe mume wake.
Mke anawezaandika urithi usimuhusu mume na asiujue hadi mcba wAke
utakapotokea
Mke anaweza zaa na mwanaume mwingine nabado akakuaminisha ni wa kwako only for U to find out after her death
Mke anawezaukwaa Ugonjwa mkubwa na kuanza dozi ya kurefusha maisha bila mwenzie kujua only to find out baada ya kifo chake tena kwa kusoma cheti cha kifo.
Mwanamke!! Hakuna anachoshindwa!
Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!

We are sharing the same experience mkuu Mbu but umeadimika sana kule kwenye ulimwengu wetu wa soka,why your majesty!....umeona ee? tena hapo pa kuzaa na mwanaume mwingine...analazimishwa mume na mtoto kukubaliana na hali,
hakuna mjadala...
...lakini hilo ulilojifunza 'msibani,' mbona cha mtoto? wenzio tunajua machungu baada ya talaka...pale mke anapokuburuza mahakamani na madai ambayo anakutuhumu kizimbani bila kupepesa hata jicho!....sasa hapo uombee hakimu naye awe mwanamke, weee!
...katika wanawake wote duniani, ni mama yangu pekee anayestahiki 100% ya moyo na roho yangu,...kama sio yeye
nisingekuwapo hapa leo, ...mke na watoto 'wema' ni majaaliwa...
But sishangai kwa nini kati ya Adam na Eve shetani alimchagua Eve!
Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!
Mke anaweza fanya maamuzi magumu kama kuusia wapi azikwe akifa na asimuhusishe mume wake.
Mke anawezaandika urithi usimuhusu mume na asiujue hadi mcba wAke
utakapotokea
Mke anaweza zaa na mwanaume mwingine nabado akakuaminisha ni wa kwako only for U to find out after her death
Mke anawezaukwaa Ugonjwa mkubwa na kuanza dozi ya kurefusha maisha bila mwenzie kujua only to find out baada ya kifo chake tena kwa kusoma cheti cha kifo.
Mwanamke!! Hakuna anachoshindwa!
We are sharing the same experience mkuu Mbu but umeadimika sana kule kwenye ulimwengu wetu wa soka,why your majesty!
Yaani hadi najiogopa mwenyewe yaani naanza upya kujiassess
Yaani hadi najiogopa mwenyewe yaani naanza upya kujiassess