Wanawake mkiamua, wanaume wote kwisha habari yetu!!!!!!

Na ni MAUA kama WARIDI uyaonapo uhai ukujia tena. Bila sisi wanawake wanaume mngeuana ovyo, maana ni kwa kupitia sauti zetu za upole na mioyo yetu ya huruma AMANI inakuwepo duniani. Ni kwasababu ya wanawake , wanaume wanaitafuta hiyo pesa. Nguvu aliyonayo mwanamke ni kubwa kuliko MISULI ya mwanaume imejifumbata huioni kwa macho.Japo wanatuita viumbe dhaifu lakini wanakili moyoni POWER kubwa tuliyo pewa.Nashukuru Mungu kwa kuzaliwa nilivyo

Hiyo ni sifa namba 11, ndiyo maana nilisema nyingine ongezeeni wenyewe. weekend njema
 
Uzi kama huu mlitakiwa muushadadie japo kwa kusema "Hallo hallooo............" lakini mko kimya matokeo yake mnawaacha baadhi ya wanaume wanauvunja vunja, na kumfanya Ndyoko aonekane kama vile anawa-tweza.

Halo halo haloloo
 
Kusema ukweli as frm last week, nina perception tofauti sana ya wanawake! Mwanamke ni wa kuogopa. Si bure mlivyoamriwa kuwa muishi nao kwa akili

...lahaula wala quwwata! Soulmate vipi tena yarabi? ...pokea nakutunikia..
godiva.jpg
 
Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!

Mke anaweza fanya maamuzi magumu kama kuusia wapi azikwe akifa na asimuhusishe mume wake.

Mke anawezaandika urithi usimuhusu mume na asiujue hadi mcba wAke
utakapotokea

Mke anaweza zaa na mwanaume mwingine nabado akakuaminisha ni wa kwako only for U to find out after her death

Mke anawezaukwaa Ugonjwa mkubwa na kuanza dozi ya kurefusha maisha bila mwenzie kujua only to find out baada ya kifo chake tena kwa kusoma cheti cha kifo.

Mwanamke!! Hakuna anachoshindwa!
 
Angalau leo tena kwa siku ya jumapili nimekutana na GT wa ukweli yaani wewe umesema kweli tupu hebu Mwenyezi Mungu atufungue macho tuone umuhimu wa wanawake.
 
Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!
Mke anaweza fanya maamuzi magumu kama kuusia wapi azikwe akifa na asimuhusishe mume wake.
Mke anawezaandika urithi usimuhusu mume na asiujue hadi mcba wAke
utakapotokea
Mke anaweza zaa na mwanaume mwingine nabado akakuaminisha ni wa kwako only for U to find out after her death
Mke anawezaukwaa Ugonjwa mkubwa na kuanza dozi ya kurefusha maisha bila mwenzie kujua only to find out baada ya kifo chake tena kwa kusoma cheti cha kifo.
Mwanamke!! Hakuna anachoshindwa!
Hakya nani,mkuu wangu wanawake nawaogopa saana,yaani imefika pahali cna imani na mwanamke zaidi ya mamaangu alonizaa na kunilea mpaka leo nimefika hapa,siwaamini kabisa i'm living with them in a gambling way!
 
Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!

Mke anaweza fanya maamuzi magumu kama kuusia wapi azikwe akifa na asimuhusishe mume wake.

Mke anawezaandika urithi usimuhusu mume na asiujue hadi mcba wAke
utakapotokea

Mke anaweza zaa na mwanaume mwingine nabado akakuaminisha ni wa kwako only for U to find out after her death

Mke anawezaukwaa Ugonjwa mkubwa na kuanza dozi ya kurefusha maisha bila mwenzie kujua only to find out baada ya kifo chake tena kwa kusoma cheti cha kifo.

Mwanamke!! Hakuna anachoshindwa!

....umeona ee? tena hapo pa kuzaa na mwanaume mwingine...analazimishwa mume na mtoto kukubaliana na hali,
hakuna mjadala...

...lakini hilo ulilojifunza 'msibani,' mbona cha mtoto? wenzio tunajua machungu baada ya talaka...pale mke anapokuburuza mahakamani na madai ambayo anakutuhumu kizimbani bila kupepesa hata jicho!....sasa hapo uombee hakimu naye awe mwanamke, weee!

...katika wanawake wote duniani, ni mama yangu pekee anayestahiki 100% ya moyo na roho yangu,...kama sio yeye
nisingekuwapo hapa leo, ...mke na watoto 'wema' ni majaaliwa...
 
We are sharing the same experience mkuu Mbu but umeadimika sana kule kwenye ulimwengu wetu wa soka,why your majesty!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
But sishangai kwa nini kati ya Adam na Eve shetani alimchagua Eve!
 
Kwani nani amekuambia kulea familia ni hisani?Hilo ni jukumu lake,hata kumhudumia mumewe sio hisani ile ni majukumu yake,huo ndio ukweli wa mambo!

Hebu chunguza vizuri ulipojikwaa mkuu!
 
Acha tu soulmate! I have learned some hard truth about women wiki hii acha tu!

Mke anaweza fanya maamuzi magumu kama kuusia wapi azikwe akifa na asimuhusishe mume wake.

Mke anawezaandika urithi usimuhusu mume na asiujue hadi mcba wAke
utakapotokea

Mke anaweza zaa na mwanaume mwingine nabado akakuaminisha ni wa kwako only for U to find out after her death

Mke anawezaukwaa Ugonjwa mkubwa na kuanza dozi ya kurefusha maisha bila mwenzie kujua only to find out baada ya kifo chake tena kwa kusoma cheti cha kifo.

Mwanamke!! Hakuna anachoshindwa!

Wakitokea watu kama kina mtambuzi anayaongelea hayo, kelele nyiiiiiiiiiiiiiiiiiingi, wakisifiwa lawama. Hivi hawa wanawake tunawaonaje?
 
Nina wasiwasi umechimbwa mkwala na your hubby, yaani wewe Ndyoko, ukurupuke tu na kutumwagia mijisifa namna hii! hapa kuna namna, au kuna kuna mwana JF mwenye uke unampigia chapuo humu, hii sio bure kabisa.. mh!
 
We are sharing the same experience mkuu Mbu but umeadimika sana kule kwenye ulimwengu wetu wa soka,why your majesty!

...nipo "likizo" kidogo bana, zile presha za mwanzo nusura zinitoe roho bana...
will catch with you guys soon, acha "tuukoge mwaka" kwanza...
 
Yaani hadi najiogopa mwenyewe yaani naanza upya kujiassess

mwisho wa siku mwanaume ndio anamfanya mwanamke kuwa mgumu kama alivyo i.e mwanamke huishi na kuwa na tabia kulingana na mazingira anayokuwa at a particular moment and time. Ndio maana wanawake wanasurvive matatizo na stress kibao na wengine kufikia kusema au kudhani kuwa wanawake wengi wana mioyo ya chuma au roho ya paka.

Kwa hiyo basi, if treated well, mwanamke ni mtu mzuri sana na hakuna mwanaume atapenda bila ishi nae. Lakini anapokuwa mistreated, tena emotional and physical mistreatment, anaevolve adaptation mechanisms, ambazo mwisho wa siku anakuja onekana ni mbaya.

Kiukweli mbaya zaidi ni yule anayechochea na kusababisha huyu mwanamke kuonekana hatari.
 
Back
Top Bottom