Mkuu wengi sana wako hivyo, yaani unamfuata for real kwa hiyo hamna mambo ya acting wala nini, hamna kubembeleza kupita kiasi, kulia machozi ya uwongo ila kumweleza ukweli tu, lakini unashangaa demu anakataa ila akija player akatoa machozi, sms 50 kila siku, vijizawadi vya ajabu na vitu vingine vingi vya uwongo uwongo na vya kinafiki anakubalia. Kwa sababu badala ya kufanya reasoning kutoa uamuzi yeye anaangalia hisia zake zaidi. Ukifika muda akajitambua na kuanza kufanya reasoning mara nyingi anakuwa ameshachuja machoni pa wengi na kwako, hana tena options nyingi na tayari anakuwa already wasted by players na yeye kuanza kujipendekeza upya.