Wanawake mkoje nyie? Mnataka mpendwe kwa namna ipi?

Wanawake mkoje nyie? Mnataka mpendwe kwa namna ipi?

Kama hivyo ulivyoandika ni sahihi basi;hakuna real women au sijaelewa maana yako ya material things ni ipi?

no real women but real woman exist.ni vigumu kumwelewa mwanamke ndo maana huyu mwenzenu analalamika mnapenda kugeneralize ndo maana inawacost
 
Back
Top Bottom