Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

Siasa acha upeku peku! Ukiona unaambiwa basi nawe unawaambiaga yako [emoji108]
 
Kama huna cha kuandika unapita kimya kimya, soma vizuri kabla ya kutoa kinyesi chako hapa. Ina maana hujaelewa nini hapo.
Hahahaa Eti watu siku hizi mmezoea kuwashushia Zigo marafiki zenu wakati matatizo ni yenu "utasikia kisa kama hiki unamsingizia jirani wakati ni wewe mwenyewe" Muwe mnasema ukweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wengine usidhani wanakufata uwashauri kweli bali wanataka kukuteka uwahudumia wakijua wakikwambia hivo unawezashikwa tamaa ukawapunguzia hizo shida.
Halafu hujiulizi inakuwaje wote watatu wakufuate wewe kukueleza matatizo yao?
Utakuwa unaukaribu nao kiasi cha wao kutoona aibu kukueleza issue kama hizo.
 
Hahahaa Eti watu siku hizi mmezoea kuwashushia Zigo marafiki zenu wakati matatizo ni yenu "utasikia kisa kama hiki unamsingizia jirani wakati ni wewe mwenyewe" Muwe mnasema ukweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binti umekuaje tena , mbona unapandwa na mzuka, smart people don't think other are stupid.
 
Binti umekuaje tena , mbona unapandwa na mzuka, smart people don't think other are stupid.
So?[emoji14] [emoji14] [emoji14] Muone Dr. mandai uondoe aibu kijana ili uache kututolea povu lisilo faida, Tumekupima kina kwa kidole cha Mwisho [emoji23] [emoji108]
 
Bado nawaza hao wake za watu kadhaa, kwanini wanakufuata wewe tu kukueleza mambo yao ya ndani? Au wanakuchukulia kama shosti yao?
Nilitaka kuuliza swali hilo hilo...khaa
 
tatizo linalowakabili wadada wa siku hizi mimi nadhani huo ni upungufu wa elimu ya unyago...bibi zetu waliofundwa wakafundika utakuta walikuwa na wanaume wakatili lakini ata siku moja awezi kuthubutu kupeleka mambo yake ya ndani kwa mtu yeyote....lakini hii elimu tuliyoletewa na wakoloni inatupumbaza kiasi na wasichana nao siku hizi wanajiona kama wanaume...na kujifanya wawazi ndo matokeo yake hayo ya kuanika mambo yao ya siri.
 
Hivi jando umekwenda wewe? Ulikatwa kwa kisu cha aina gani au ulitiwa ganzi kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…