Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Bathi takuwa mtoto mdhurii.Bathi chichemi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bathi takuwa mtoto mdhurii.Bathi chichemi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] achana nae huyu binti yangu , yawezekana ni miongoni mwao.Hahahh yeye ndio muhusika kwahyo [emoji16]
Siasa acha upeku peku! Ukiona unaambiwa basi nawe unawaambiaga yako [emoji108]Ndoa si lele mama, ili iweze kustawi na kudumu lazima kila mwanandoa anapaswa ajifunge kwa dhati kuitumikia ndoa hiyo. Kila anaeingia katika mkataba wa ndoa anaingia na matatizo yake binafsi. Na hakuna binadamu aliyekamilika kwa vyote, wengine wafupi, wengine warefu, wengine wanene, wengine wembamba, wengine wazuri , wengine wabaya, wengine weupe , wengine weusi, wengine wapole, wengine roho mbaya kama scorpion, wengine wakarimu, wengine wachoyo, orodha ni ndefu sana.
Kuna hii tabia mbaya sana kwa wake za watu wanaotafuta mapungufu ya waume zao kisha kuyashikia bango. Na bahati mbaya hawana siri tena, kila mtu anayepita mbele yao wanaropoka yote. Mnatia aibu sana badilikeni, mambo mengine mnazungumza wawili ndani na sio kuyatoa nje kwa wapita njia.
Kuna wake za watu wamenifuata kwa nyakati tofauti kuomba ushauri juu ya waume zao hasa wawapo kitandani. Mazungumzo yetu yalikuwa hivi:
Mke wa mtu 1" Siasa basi yaani mume wangu hakuna kitu kabisa, usiku ananipiga kimoja anaanguka kule anaanza kukoroma nalala na nyege zangu, wakati mwingine anapoamka asubuhi anakurupuka ananipiga kimoja anakwenda kazini nabaki na nyege tele sijui nifanyeje!"
Siasa basi " Kwani wewe unataka upigwe vingapi?
Mke wa mtu1" Hata nikipigwa kimoja basi kiwe cha ujazo jamani, yeye hata dakika 5 nyingi'
Siasa basi" umeshawahi kumwambia kuwa hakufikishi?"
Mke wa mtu 1" Mhhh nitaanzia wapi, naogopa hata kumwambia, si ataniona malaya."
Mke wa mtu 2 " Siasa basi, mume wangu jamani anakibamia, yaani hata akiingiza sisikii chochote , na wala hanifikishi popote, bora nijitie hata vidole"
Siasa basi" wakati unaolewa hukujua kuwa ana kibamia, leo ndio unakiona?
Mke wa mtu 2 " unajua siasa basi, mwanzo kidogo alikuwa afadhali, sasa hivi ndio kimekuwa kidogo zaidi, cha ajabu anaweza kumaliza hata mwezi hajanigusa kabisa, ndoa kwangu imekuwa ngumu sana, siwezi kuvumilia kwa kweli, napewa kila kitu ninachotaka, na mume wangu kama unavyomuona ni tajiri sana hapa Dar"
Haya ni maongezi yetu machache na wake hawa. Katika mazungumzo hayo utabaini wana matatizo kabisa. Kama unataka kuona ndoa yako inakuwa na furaha epuka tabia ya kuchokonoa kasoro za mume wako. Puuza kasoro zake, usimlinganishe na mwanaume mwingine, inawezekana pia hao wanaume wakawa na kasoro ambazo mume wako hana. Tulia ridhika na mazuri yake. Kuhusu suala la kupeana raha muwapo faragha, kaa nae vizuri mwandalie mazingira mazuri na tulivu kisha mwambie kwa utaratibu kwa mahaba. Lazima atakuelewa tu, mtasaidiana pamoja kuondoa tatizo.
Kuna mambo mengi sana yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume kufikia kushindwa kukufikisha. Yawezekana ikawa wewe ndiye tatizo, akitoka nje anapiga mechi na mashambulizi yake ni ya hatari. Badilikeni kaeni na waume zenu myamalizie ndani na sio kuyatoa nje hovyo.
Ukitaka kufa kabla ya siku zako au upate kilema cha maisha.wanakueleza ili uwafanyeje? na wewe jiongeze hapo
Hahahaa Eti watu siku hizi mmezoea kuwashushia Zigo marafiki zenu wakati matatizo ni yenu "utasikia kisa kama hiki unamsingizia jirani wakati ni wewe mwenyewe" Muwe mnasema ukweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama huna cha kuandika unapita kimya kimya, soma vizuri kabla ya kutoa kinyesi chako hapa. Ina maana hujaelewa nini hapo.
Binti umekuaje tena , mbona unapandwa na mzuka, smart people don't think other are stupid.Hahahaa Eti watu siku hizi mmezoea kuwashushia Zigo marafiki zenu wakati matatizo ni yenu "utasikia kisa kama hiki unamsingizia jirani wakati ni wewe mwenyewe" Muwe mnasema ukweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni a uume naringia mimi?Ukitaka kufa kabla ya siku zako au upate kilema cha maisha.
Tembea na mke wa mtu. Hata huo uume unaoringia unaweza usisimame milele
Lady AJ we yako umewaambia wangapi?Siasa acha upeku peku! Ukiona unaambiwa basi nawe unawaambiaga yako [emoji108]
So?[emoji14] [emoji14] [emoji14] Muone Dr. mandai uondoe aibu kijana ili uache kututolea povu lisilo faida, Tumekupima kina kwa kidole cha Mwisho [emoji23] [emoji108]Binti umekuaje tena , mbona unapandwa na mzuka, smart people don't think other are stupid.
Nilitaka kuuliza swali hilo hilo...khaaBado nawaza hao wake za watu kadhaa, kwanini wanakufuata wewe tu kukueleza mambo yao ya ndani? Au wanakuchukulia kama shosti yao?
Nimekwambia wewe tu mkuuLady AJ we yako umewaambia wangapi?
Angekuwa mmoja labda, sasa zaidi ya mmoja, aseme tu kama ni mmoja wao.Nilitaka kuuliza swali hilo hilo...khaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu, karibu sanaNimekwambia wewe tu mkuu
kwa sababu najua wewe ni Joka lisilo na sumu
Njoo hata wewe unielezee niko hapa kukutatulia shida yako, usiwe na maswali mengi mkuu.Nilitaka kuuliza swali hilo hilo...khaa
Leo ni Nyerere dayLeo mmejua kutuamulia
Kisha kesho unitangaze JF ...akhuu... Thanx but no thanksNjoo hata wewe unielezee niko hapa kukutatulia shida yako, usiwe na maswali mengi mkuu.
Kwahyo hawana cha kufanyaLeo ni Nyerere day
Hivi jando umekwenda wewe? Ulikatwa kwa kisu cha aina gani au ulitiwa ganzi kwanza?tatizo linalowakabili wadada wa siku hizi mimi nadhani huo ni upungufu wa elimu ya unyago...bibi zetu waliofundwa wakafundika utakuta walikuwa na wanaume wakatili lakini ata siku moja awezi kuthubutu kupeleka mambo yake ya ndani kwa mtu yeyote....lakini hii elimu tuliyoletewa na wakoloni inatupumbaza kiasi na wasichana nao siku hizi wanajiona kama wanaume...na kujifanya wawazi ndo matokeo yake hayo ya kuanika mambo yao ya siri.