Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

Hivi jando umekwenda wewe? Ulikatwa kwa kisu cha aina gani au ulitiwa ganzi kwanza?
mimi nilikatwa kwa kisu butu, ganzi niliyowekewa ilikuwa chumvi tena chumvi ile ya mawe...ndio maana nikimkunja mtu kama wewe lazima....chozi la raha likutoke
 
Kisha kesho unitangaze JF ...akhuu... Thanx but no thanks
Usikubali kukaa na maumivu, na bahati mbaya anayekuhumiza hajui thamani ya maumivu yako, hajali maumivu ya moyo wako, lakini bado unavumilia kisha unalia. Heart acha kulia sasa, hakuna wa kuyaondoa maumivu yako ila Mimi. Njoo haraka pm kwa tiba.
 
mimi nilikatwa kwa kisu butu, ganzi niliyowekewa ilikuwa chumvi tena chumvi ile ya mawe...ndio maana nikimkunja mtu kama wewe lazima....chozi la raha likutoke
Aaah umeharibu mkuu [emoji23] [emoji23] asili ya chumvi ya mawe ikimung'unyuka hutoa maji, kumbe mnachangia kuleta ma bwawa
 
Kwa hiyo umeamua kuyaleta huku, huna siri hata kidogo, sikwambii tena
 
Sasa mke alikuwa anapigwa hadharani na kutukanwa hadharani, akamsimulie nani na kila mtu anajua?
 
Usikubali kukaa na maumivu, na bahati mbaya anayekuhumiza hajui thamani ya maumivu yako, hajali maumivu ya moyo wako, lakini bado unavumilia kisha unalia. Heart acha kulia sasa, hakuna wa kuyaondoa maumivu yako ila Mimi. Njoo haraka pm kwa tiba.
Weeeee.... hebu chill kwanza. Nani kakwambia nna matatizo. Mi sihumizwi..nna 'hinjoi' mahaba nnayopewa na bebi
 
Nilikuwa na kijibahati kama chako; kuelezwa matatizo ya waume zao; nikajichunguza na Mimi ; naishi vipi na hawa wake za watu, nikagundua nahitaji kupunguza mazoea,ukiona unaelezwa mambo hayo saaana ujue unatafutwa wewe siyo suluhu ya mume husika; last time nilimpa makavu mama mmoja hivi hakurudia tena
From there cpendi kuwapa muda mrefu wa kuzungumza hawa watu hasa tukiwa wawili !nawaogooooopa! Siyo salama hata kidogo. Atakuja na nidhamu akikuzoea inakuwa balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…