Mmeambiwa msilalamike kuhusu wake zenu maana they are image of you, so ukiona ana matatizo ujue 'kichwa cha familia' ndio kiko hivyo.Ndoa za siku hizi kutiana ukichaa tu, wake zetu wana matatizo kweli, hata ukiwafikisha wataibua matatizo mengine tu.
Ushasema huko nje, huko nje unadhani shida yake ni nini? Lazima usifiwe hadi ujikute CR kumbe manfongo.Mkuu Sasa Basi umegusa ukweli wanawake wenye tabia hiyo lazima mapovu yawatoke lakini ukweli umewapa hawajui kuwa hata sisi tunaodharaulika kwenye ndoa zetu huko nje tunasifiwa na kupewa vitu adim Ukisema cha nini mwenzio unasema nitakipata lini inabidi wajiongeze kiakili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu zangu mkuu, kwamba sasa uitwe "Mapenzi basi"Atakuwa ni mke wangu huyo, hata hayo maneno yananigusa moja kwa zote.
Michaelray: We siasa basi kwa nini mke wangu kukuelezea mambo ya nyumba yangu?
Siasa Basi: Shikamoo mueshimiwa!!
Michaelray: Embu ntolee upuuzi Mimi, unajua nimemtoa wapi huyo Mke no.2.
Siasa Basi: Kaja mwenyewe kunielezea..
Michaelray: kukuelezea nini? (Akimkatisha).
Siasa Basi; Eti unakibamia(kwa sauti ya mnong'ono)
Michaelray: Ati Kibamia!! Mungu wangu. (Haya ikiwa imeufunika Uso wake)
Siasa Basi: Tena eti unapiga kibao kimoja kama yule jogoo pale( Anamwonyesha jogoo anayempanda mtetea aliyekaribu yao).
Michaelray: (hasemi kitu zaidi ya kuahusha pumzi kama Kobe Mzee).
Siasa Basi: Mzee nakushauri uache mapenzi na ndoa kwa kwa ujumla. Ujiite MAPENZI BASI.
Wanashikana Masharti, Onyesho linaisha jukwaani, Wanajamii Foramu wanashangilia wote isipokuwa Wenye Vibamia.
Karibu katika onyesho lijalo
Atoto katika ubora wako, haya bhanaMmeambiwa msilalamike kuhusu wake zenu maana they are image of you, so ukiona ana matatizo ujue 'kichwa cha familia' ndio kiko hivyo.
Hahaaa!!Atoto katika ubora wako, haya bhana
Mzigo mkubwa wa maisha huwaelemea zaidi wanaume kwa vile wao ndio wanaowajibika kuzitunza familia zao. Lakini kwa bahati mbaya sana wamekosa wake wakuwapa maneno mazuri ya kumfariji na kumuongezea matumaini, ili apumzike na kuburudika, zaidi anamuongezea shinikizo la damu, wasiwasi, msongo wa mawazo, mwisho anakosa hata hamu ya tendo la ndoa. Mke kutwa kulalamika, kunung'unika, kiburi na dharau.Hahaaa!!
Siku zote mwanamke hupenda shortcut ktk kutatua tatizo.
Na hayupo tayari kuongea na muhisika bora akalizungumze na watu wengine baki na siyo mhusika.
Yupo radhi acheat, na akikamatwa akaachwa anaanza kumlaumu mume wake kwa kumuacha na anaona km anaonewa
Hapa ndiyo huwa nashindwa kuwaelewa wanawake.
Ni kweli kabisa, ndio maana hata life span yenu inazidi kupungua.Mzigo mkubwa wa maisha huwaelemea zaidi wanaume kwa vile wao ndio wanaowajibika kuzitunza familia zao. Lakini kwa bahati mbaya sana wamekosa wake wakuwapa maneno mazuri ya kumfariji na kumuongezea matumaini, ili apumzike na kuburudika, zaidi anamuongezea shinikizo la damu, wasiwasi, msongo wa mawazo, mwisho anakosa hata hamu ya tendo la ndoa. Mke kutwa kulalamika, kunung'unika, kiburi na dharau.
Tabia ya wanawake ya kulalamika, kunung'unika na kudeka inawaudhi wanaume wengi. Wamekaa kuwasema waume zao vibaya mbele za watu. Wanatia aibu tupu , ndio maana wamekuwa wepesi sana, ukimgusa tu tayari.Sio kweli maana yake kama wewe unavyomsifia wa nje na ndio ilivyo wa ndani hua anaonekana hana maana kawa wake zetu huwa hawatusifii hata ufanyaje
Kwan ww lazima uchangie.. Kitulize bas watu wachangie tupate uziefu.[emoji38] [emoji38] [emoji38] hili povu halinitoshi ongeza....
Safi sana atoto , unajua kumheshimu mume wako haina maana kujidhalilisha, kumuheshimu mume ni njia mojawapo tu ya kuonyesha upendo wako kwake na kuonyesha kuwa unamjali. Jukumu la mwanamke ni kumtunza na kumlimda mwanaume. Ukionyesha upendo wa kweli kwa mumeo, basi mumeo atakuwa tayari hata kujitolea muhanga kwa ajili yako. Sasa unakuta mke wakati wote limefura utazani limemeza chura, furaha ndani hakuna, ugomvi kila wakati, hapo nguvu ya kiume itatoka wapi.Ni kweli kabisa, ndio maana hata life span yenu inazidi kupungua.
Tutajirekebisha na kuwafanya msijutie kuwa nasi, ila nanyi mkitulize.
Siasa basi, kuna wanawake wanawaheshimu waume zao acha kabisa, ila ndio wanakutana na waume vimeo wasiojali wala kuthamini.Safi sana atoto , unajua kumheshimu mume wako haina maana kujidhalilisha, kumuheshimu mume ni njia mojawapo tu ya kuonyesha upendo wako kwake na kuonyesha kuwa unamjali. Jukumu la mwanamke ni kumtunza na kumlimda mwanaume. Ukionyesha upendo wa kweli kwa mumeo, basi mumeo atakuwa tayari hata kujitolea muhanga kwa ajili yako. Sasa unakuta mke wakati wote limefura utazani limemeza chura, furaha ndani hakuna, ugomvi kila wakati, hapo nguvu ya kiume itatoka wapi.
Karibu sana, njoo pm haraka ni kushauri nini cha kufanya.Unaonekana ni mshauri wa ndoa mzuri.. Ngoja na mm nakuja na matatizo yangu unitatulie
Wake za watu hupati shida ya kutongoza, ukigusa tu imooo, wamejirahishisha sana mpaka inatia aibuKwel mkuu wanawake za watu siku hizi wanajirahisisha sana
Haaa haaaa haaaa.Dog kala Dog[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikua nataka jibu kama hili....