Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

Wanawake bwana😃😃😃ukute ulikimbia NDOA kwasababu ya mumeo kuwa na michepuko ajabu umetoka na wewe unakuwa mchepuko😄😄😄ama hakika nyoka alizipima akili zenu na akaona hazitoshi ndo maana akaunda urafiki nanyi
 
Mshangae,hawa michepuko wakidanganywa kidogo Tu wanajaa!!!
Ooooh mke wangu Hana akili ya maisha kama wewe🤣🤣🤣🤣
Ooooh nimegombana na mke wangu hatulali chumba kimoja mara paah mke ana mimba!!🤣🤣🤣
Mwanamke mdanganyedanganye,ndomaana hata maex ambao walionekana hawana akili na hawafai kuolewa na baadhi ya wanaume waliooa wadada wengine,huwa wanatumia hiyo mbinu,anaenda kwa ex wake anamdangsnya daah yani una k tamu sana kuliko mke wangu,mara sijui kwanini nilimuoa yule mwanamke,nashindwa kumuacha kwasababu tuna watoto na mambo mengine meengii... ex anajazwa kwenye mfumo,anapigwa jamaa anarudi kwa mke wake dadeki..
 
Ungekuwa na SIFA ningekukaribisha kwangu maana bado ana nafasi 3 zipo wazi!! Ingawa ningependa aniletee kabinti kuliko single mother maana asijekufilisi ndani akiwawekeza wanawe wa nje!!

Hata nikisafiri mume awe kwenye mikono salama.
 
Wanawake mlioolewa mjue kabisa kuwa hakuna mwanamke single asiyetaka huduma.
Hata kama nimekimbia ndoa yangu Musoma na kuja Dar, nikikutaka na mume wa mtu anayejua kuhudumia ni lazima niwe nae.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…