shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Sasa huyu na utu uzima wake kadanganywa kajaa anakuja kujitapa hapa!!Mwanamke mdanganyedanganye,ndomaana hata maex ambao walionekana hawana akili na hawafai kuolewa na baadhi ya wanaume waliooa wadada wengine,huwa wanatumia hiyo mbinu,anaenda kwa ex wake anamdangsnya daah yani una k tamu sana kuliko mke wangu,mara sijui kwanini nilimuoa yule mwanamke,nashindwa kumuacha kwasababu tuna watoto na mambo mengine meengii... ex anajazwa kwenye mfumo,anapigwa jamaa anarudi kwa mke wake dadeki..
Mwambieni ninyi wanaume atawaelewa maana tukisema Sisi atasema hatuna mauno feni ndo maana mnachepuka!