Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

Sasa huyu na utu uzima wake kadanganywa kajaa anakuja kujitapa hapa!!
Mwambieni ninyi wanaume atawaelewa maana tukisema Sisi atasema hatuna mauno feni ndo maana mnachepuka!
 
Kila nikiona mcheps anataka kushindana na mke halali, natafakari sana,

Michepoz inaishia kuchezewa tyuh, akati mke halali anatamba vile atakavyo. Lol.
Ukiona anashindana Ujue huyo mchepuko ni kubwa jinga!
Angekuwa na akili angetulia zake atimize mipango yake kama ni kumchuna amchuneee we mpaka akili imkae sawa!
Kama shida ni genye basi akishamkuna Kila mtu anashika 50 zake!!
 
Sasa huyu na utu uzima wake kadanganywa kajaa anakuja kujitapa hapa!!
Mwambieni ninyi wanaume atawaelewa maana tukisema Sisi atasema hatuna mauno feni ndo maana mnachepuka!
Haina haja ya kumwambia,maana tukitaka kubadili ladha,tunategemea wanawake wenye akili kama za mleta mada,ila kuweka ndani hatuthubutu tunabaki na tunaoona wanafaa kuwekwa ndani,hao ni kuwajaza masifa ya uongo tu,mwishowe kila mtoto na baba yake,dadeki.
 
Duuh,. Kuweni na huruma basi🥲
 
Kwakweli,. Sasa hapo kwenye kumpata soulmate ndio changomoto kumjua yupi ni yupi,
Watu wanafake sana maisha sikuizi
Na soulimeti huwa anakuja mara moja tu maishani mwako. Kuna mtu very unique anakuja maishani mwako na anakupenda sana tena bila sababu na mna-click tu naturally. Sema sasa mara nyingi mtu huyu huja wakati ambao siyo sahihi - anakukuta mtu bado hujapevuka na kukomaa sawasawa kihisia, kiakili na kisaikolojia. Au anakuwa hana vigezo unavyovitaka (mf. Kwenu ke - nyumba, gari, pesa n.k) anahangaika weee halafu huyo mwishowe anakata tamaa na kwenda zake. Na akishaondoka kinachofuatia hapo ni kupigwa matukio tu non-stop, maana universe imekuwa tayari ilishakupa soulimeti wako halafu ukamwachia.

Ukifikiria vizuri lazima tu utamkumbuka soulimeti wako. Mtu aliyekupenda kabisa kwa upendo wa kweli tena bila ajenda yo yote. Kama hayupo basi pengine bado hajakufikia. Na ingekuwa dunia ina fomyula moja basi soulimeti wako alipaswa kuwa yule uliyeingia naye agano la damu (aliyekubikiri) 👇lakini dunia haiko hivyo👇..

 
Akili za malaya hizi

Kuna mambo mengine ni usenge sana sasa kwa nini usitafute mwanaume single mfanye maisha

Kutoka na mume wa mtu ni kujipotezea muda tu na utatumika kama chewing gum utamu ukiisha unatemwa

By the way malaya ni malaya tu, hakuna mwanaume aliyewahi kufanikiwa kufanya malaya awe mke

Kunguru hafugiki
​
 
Ila hii ya aliyebikiri kuwa ndio soulmate kama ina kaukweli hivi🤔🤔🤔,. Lakini siamini kama wote wanaoishi kwa amani kwenye ndoa zao walikutana mabikra,.
Nyingine ni changamoto tu za ujana huenda hata universe yenyewe inaelewa😄
 
Wanawake wa hivyo,huwa hatuna shida na hatakama simu zikipìgwa nikiwa kifuani,mi najifanya sioni,maana nakua najua ni chawote.Napiga nasepa naenda kwa mke wa watoto wangu.
 
Naona mlio kwenye ndoa mmekuja kunishambulia.
Ila ukweli ndio huu





Mpaka mume anakupa ujumbe kwa njia nyingine hujiongezi tu
 
Ukiona anashindana Ujue huyo mchepuko ni kubwa jinga!
Angekuwa na akili angetulia zake atimize mipango yake kama ni kumchuna amchuneee we mpaka akili imkae sawa!
Kama shida ni genye basi akishamkuna Kila mtu anashika 50 zake!!
Kwa kweli.
 
Wanawake wa hivyo,huwa hatuna shida na hatakama simu zikipìgwa nikiwa kifuani,mi najifanya sioni,maana nakua najua ni chawote.Napiga nasepa naenda kwa mke wa watoto wangu.
Umesema vyema

Nusratt ni kumpiga hit and run
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…