Wanawake Mlio Ndoani, Msibweteke, Single Ladies Tunawapa Salamu

Suala la ndoa lingekuwa ni sera ya taifa ,ndoa zingeanza kujengeka vizuri ikiwa ni pamoja na maadili basi hata taifa la kesho lingekuwa safi .

Watoto wangefundisha hata mambo ya kitaifa katika hatua ya familia kabisa ,kwamba rushwa sio nzuri ni maadili mabaya ,makuzi mazuri kwa watoto ili kupata watu wenye hurumu ..Kuchukua mayatima wa mitaani ili wawe sehemu za familia zetu ili kuendelea upendo .
 
Kujishusha thamani kabisa hapo wanawake wanafeli sana.
 
"nilinunua jezi mpya ya Simba ikapotea ghafula!kumbe majivuno plus kiburi aliichoma moto watoto wakiona"

Malalamiko ya mdogo wangu mmoja hivi!!!

Michepuko mna Pepo yenu kwa mungu!!Nawaombea coz mnatusaidia sana!
 
Mnawaiba wanaume ambao hawajielewi,
Tena mostly huwa mnaonekana cheap and easy target,
Mwanamme akimpenda mwanamke wake hauwezi ukamuiba hata kwa kumtishia kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…