Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Duh wanawake kazi wanayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Detaching oneself from emotional bondage isn't easy, but you'll surely get better as days go by. Trust me bro..Ni kweli, na kuna mpenyo flan ninaouna kwenye mishe zangu toka aondoke, ni kama kanifungulia njia na mambo yanaanza kwenda kasi ila bado mke ni mke kaka, imagine mmezaa na mko 15 yrs kwenye ndoa, haiwez kuwa rahis ku cope na hali ,ni ngumu mnoo. But najitahid
Mkuu comments zako nyingi zinaashiria hauko sawa, hapo ni kuweka vitu mezani angalia options, mfano...You have seen right through me. Mkuu hili kwangu ni jeraha kaka sikulitegemea na honestly sina experience ya ku navigate through. Sijajua bado nitapona vipi na nitatoka vipi ili nirud kawaida kihisia. Kaniacha sikua nategemea na kiukwel najitahid sana kumsahau ila najua haiwez kuwa rahis, for real nahitaji msaada kuhusu hili. Namuwaza yeye nawawaza watoto wangu aliowachukua, japo sasa ni 35 days toka niamue kujikaza kutompigia simu wala kumtumia sms, ila honestly, nateketea inside.😢😭😭😭😭😭
Japo naamini nitazoea ila sijui itakua lini
Ni viumbe wa hovyo sana hao pindi wakiwa ni hotcakes. Jua likizama ndio full kutusumbua sisi wavaa mashati ya vitengeDuh wanawake kazi wanayo
Thanks man..i believe soMkuu comments zako nyingi zinaashiria hauko sawa, hapo ni kuweka vitu mezani angalia options, mfano...
1. Kaondoka na hakuna possibility ya kurudi kwa sasa u have to LET GO
2. Kuweka terms za kuwaona vijana wako (usimpigie yeye tafuta mbadala)
3. Kushirikisha mtu wa makamo au kiongozi wa kidini.
4. Fungamana na watu iwe sehem za ibada, kwenye michezo, ufukweni, ata vijiwe vya kahawa kupotezea usikae alone. Kwenye mtandao kama hv sawa pia but real people will show u real emotions.
5. Unothordox method ingine kama una time ebu anagalia wenye matatizo kukuzidi labda ocean road pale watu wa kansa, orphanages etc.
Kwa sasa usifikirie mbinu za kumrudisha mana utapalilia moto na atajiona ana upper hand! Na siwez jifanya nnaelewa unayopitia but one thing for certain bro, TOMORROW WILL COME.
Sure thing kaka. I too, hope soDetaching oneself from emotional bondage isn't easy, but you'll surely get better as days go by. Trust me bro..
Uko mkoa gan MkuuThanks man..i believe so
Niko Dar kimakazi ila currently nimeshift kujaribu ku cope na situation, nakua Iringa na mwanza kulingana na shughuli zanguUko mkoa gan Mkuu
Sawa ngoja niunganishe jina lako kwa Nabii mkuu upate mhehe/mbena au msukuma mmoja piruuu .... JokesNiko Dar kimakazi ila currently nimeshift kujaribu ku cope na situation, nakua Iringa na mwanza kulingana na shughuli zangu
Wee jamaa ni komedi😂eti niwaoe na hivihivi vitenge vyangu, sasa hivi wanasema wanavikubali sana
Sasa kanisani huendi na ni senior bachelor utakua wap jpili hii muhenga 🤣🤣🤣??Hahaha na nikwel nakula ulabu umejuaje mkuu😅😅
njoo pm mwaya.Mbona mimi 30+ halafu siko hivyo? Au mimi sio binadamu wa kawaida😅
Nabii mkuu huyu anayegawa ma benzi??Sawa ngoja niunganishe jina lako kwa Nabii mkuu upate mhehe/mbena au msukuma mmoja piruuu .... Jokes
Na kama kuongelea heartbreak yako inakupa unafuu pls go on fanya kile uko comfortable, bless.. 💪
Ha ha ha swali zuri Natafuta Ajira Zemanda Xi JinpingKaka huo uchakavu wa mbususu mnaubaini vipi ? Inakuwa kama lapulapu au!!! Nisijekuwa niko nyuma ya muda 😁😁😁.
Yaani uikute kei ya 30 iwe vzuri, Labda kama na wewe uko 40Sema tusikariri kuna vitoto vina 24 lakin mbususu imechakaa haifai kabisa ni ya kutupa.
30 wengine wapo vizuri tu tusiwanyanyapae
Sijawahi kuwa na dini bossSasa kanisani huendi na ni senior bachelor utakua wap jpili hii muhenga 🤣🤣🤣??
kwasasa nimepunguza kidogo, ila mwanzoni nilikua kila nikikutana na mtu nataman kuongea nae maana niliona kama sijatendewa haki. 😂.Na kama kuongelea heartbreak yako inakupa unafuu pls go on fanya kile uko comfortable, bless.. 💪
Ha ha ha ha ha ngoja na mimi nikashone kitenge.Nina mpango kuoa mwanamke mwenye miaka 21 huyu nilienae ana 30 siwez kukubal ujinga ngoja tuendeleee kuchezeana yaani wamchakaze mbunye toka akiwa nan 15 mpk 30 aje aniuzie mbuzi kweny gunia siwez siwez acha nivae kitenge kaka