Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Mwanamke kama una above 28 yrs hujaolewa wewe ni dungaembe useless utakufa ukiwa single maza, utabaki kuwa mdangaji, chombo cha starehe, mlevi wa kukesha bar usiku wa manane...πŸ’©πŸ’©

Mwanaume kataa ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani umasikini na kukosa akili... Zalisha tupa kule wanaume wengine wamchezee
 
Detaching oneself from emotional bondage isn't easy, but you'll surely get better as days go by. Trust me bro..
 
Mkuu comments zako nyingi zinaashiria hauko sawa, hapo ni kuweka vitu mezani angalia options, mfano...

1. Kaondoka na hakuna possibility ya kurudi kwa sasa u have to LET GO
2. Kuweka terms za kuwaona vijana wako (usimpigie yeye tafuta mbadala)
3. Kushirikisha mtu wa makamo au kiongozi wa kidini.
4. Fungamana na watu iwe sehem za ibada, kwenye michezo, ufukweni, ata vijiwe vya kahawa kupotezea usikae alone. Kwenye mtandao kama hv sawa pia but real people will show u real emotions.
5. Unothordox method ingine kama una time ebu anagalia wenye matatizo kukuzidi labda ocean road pale watu wa kansa, orphanages etc.

Kwa sasa usifikirie mbinu za kumrudisha mana utapalilia moto na atajiona ana upper hand! Na siwez jifanya nnaelewa unayopitia but one thing for certain bro, TOMORROW WILL COME.
 
Thanks man..i believe so
 
Niko Dar kimakazi ila currently nimeshift kujaribu ku cope na situation, nakua Iringa na mwanza kulingana na shughuli zangu
Sawa ngoja niunganishe jina lako kwa Nabii mkuu upate mhehe/mbena au msukuma mmoja piruuu .... Jokes

Na kama kuongelea heartbreak yako inakupa unafuu pls go on fanya kile uko comfortable, bless.. πŸ’ͺ
 
Na kama kuongelea heartbreak yako inakupa unafuu pls go on fanya kile uko comfortable, bless.. πŸ’ͺ
kwasasa nimepunguza kidogo, ila mwanzoni nilikua kila nikikutana na mtu nataman kuongea nae maana niliona kama sijatendewa haki. πŸ˜‚.
Sasa hiv nina unafuu mkubwa sana, hata kazi nimeanza kufanya, am a computer programmer supporting my several delicate software systems, sasa unaweza imagina jinsi hii kaz inavyo consume akili, halaf na mawazo niliokua nayo. Ingekua ni ajira ya mtu, naamini ningefukuzwa kazi maana nilikua nahatarisha utendaji kazi, ila kwasasa nimerud normal ,naendelea ku recover.
 
Nina mpango kuoa mwanamke mwenye miaka 21 huyu nilienae ana 30 siwez kukubal ujinga ngoja tuendeleee kuchezeana yaani wamchakaze mbunye toka akiwa nan 15 mpk 30 aje aniuzie mbuzi kweny gunia siwez siwez acha nivae kitenge kaka
Ha ha ha ha ha ngoja na mimi nikashone kitenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…