Wanawake mliotolewa bikra na waume zenu njooni hapa

Wanawake mliotolewa bikra na waume zenu njooni hapa

ENDELEA kujitunza..usituige sisi magume gume...atharu za ngono nje ya ndoa ni kuubwa Sana especially kwa mdada.

Hivyo be patient you deserve to find a person who will appreciate your Viginity

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
I thought ni dhambi kwa wote, kumbe ni kwa wanawake tu[emoji134]
 
Inauma sana mkuu,maumivu yake siji kuyasahau

Maumivu yake ni kama mtu uwe na kidonda kibichi ambacho kimetokea gamba kwa juu...asa hilo gamba ulitoe kikiwa kibichi vile vile
Inategemea mtu kwa mtu wengine wanaona damu tu hata maumivu hawapati
 
Back
Top Bottom