Wanawake mmejaliwa lakini Siwakuamini hata siku Moja!

Wanawake mmejaliwa lakini Siwakuamini hata siku Moja!

Huyu jamaa aliyeingiza habari za hong kong kachakachua thread yangu mimi binafsi sijaona wapi vinakuta na topic hii!!

Topic yenyewe mchakachuo alafu imechakachuliwa!How about that!
 
wanafanya na mbweha hawa wanawake au ni hao wanaume sema hakuna anayeaminika tena nyie msione sketi inapita tayari hayo masuruali yalishabana

Nimeipenda hiyo iko powah.
 
Nashangaa hapo umemwongelea dada tu!Siumesema huyo kaka nae ameoa??Basi na yeye hakupaswa kua na ujasiri wa kumtaka huyo dada!!Conclusion mpya:Hamna wakuamini..sio mwanamke wala mwanaume!

Kula tano!!kwa kumsuuza!
 
du hujui Hong Kong iko wapi? ulidhani ni nchi huru? HK ni Special Administrative Region SAR,zikiwemo Macau,Tibeti Inner Mongolia, Xingjiang Uygur etc zote zipo chini ya China
Dah! siku zote nilikuwa najua Hong Kong ni nchi kumbe jiografia yangu mbofu.......!
 
Back
Top Bottom