Wanawake mmenishinda

Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.
 
Hehehe,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao ndo wanawake bhana,
Ukimtoa mama yangu lakin[emoji12] [emoji12]
 
Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.
umeniburudisha sana. security ina thamani kuliko ulinzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…