Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,456
Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwangu, utaupata kwa 90%, I assure you.Yes huo ndo tuutakao
Hapo kama nimeanza kujenga najikuta nimebomoa msingi na kiwanja nauza kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
10% zinaenda wapi?Njoo kwangu, utaupata kwa 90%, I assure you.
umeniburudisha sana. security ina thamani kuliko ulinzi!Nadhani lugha ya Kiswahili ina ukakasi ndiyo maana wanakataa. Huku kwetu Geita ukiwaambia mimi ni security nipo GGM wanajipanga foleni, hawakumbuki kuwa wewe ni mlinzi.
Mzuri uko pekeyako?10% zinaenda wapi?
basi tokeni mkafate riziki...tumechoka kuwafadhiria..Yes huo ndo tuutakao
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaaaaa et na miserekasi Juu..kuna mmoja nilimweka huo mkao daaa huwezi amini ukimwangalia muda akitembea.
Kwa enzi hz imekula kwao ...Nadhani ulinzi wanaoutaka ni wa kiuchumi zaidi sio physical protection.