Wanawake mna kiranga gani?

Mie sina maoni ila nataka utupie kapicha ka surgeon aliyemfanyia hivi binti wa watu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mara kadhaa tumekuwa tukisikia simulizi kuhusu mashabiki ambao hubeba mapenzi yao kwa watu maarufu kwa kupitiliza, yaani mahaba yaliyopitiliza kiasi kutaka wafanane nao.

Hayo yametokea binti mdogo wa nchini Iran, Sahar Tabar ambaye amepata umaarufu hivi karibuni kutokana na sababu hii muhimu.

Binti huyu miaka 19, ambaye kwa sasa anawafuasi takribani 400,000 katika ukurasa wake wa Instagram, amepitia upasuaji mara kadhaa ili mradi tu anonekane kama mchezaji wa filamu nyota wa Hollywood, Angelina Jolie,ambaye anampenda zaidi.

Amefanyiwa upasuaji wa sura yake kwa takribani mara 50 ili aonekane kama mwanamama huyo wa kimarekani nyota wa filamu za 'Action'.

Anasema mara baada ya kufanyiwa upasuaji huo, alitakiwa kufuata masharti ya chakula ili aweze kupunguza uzito kwa lengo la kufikia umbo la Angelina Jolie mwenye mwili mwembamba pia.
 
Duh watu na mapenzi yao. Kama sio mahaba [emoji16]
Ni kweli mapenzi. Lakini nadhani kazi ya muumba ni ya kuacha kama ilivyo, ukijifanya kutaka kujiumba mwenyewe hatima yake ni kama hivyo sasa. Mwili na sura imegeuka kama zombi.
 
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie.

Nini maoni yako
Hii dunia ina maajabu! Kilakukicha haeshi vituko hahahahahaaa!!!!
 
Maoni yangu: vitu vingine havifai kuigwa, ona sasa mtoto wa miaka 19 kama bibi wa miaka 80, ni upumbavu wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…