255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Daaah inasikitisha sana.. Kuna watu wanakufuru mno..[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio hivyo tena swahiba.
Ila dunia ina mambo sana ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah inasikitisha sana.. Kuna watu wanakufuru mno..[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio hivyo tena swahiba.
Ila dunia ina mambo sana ujue.
Sana aisee. Ila kwa yanayowakuta huwa ni funzo kwa wengine.Daaah inasikitisha sana.. Kuna watu wanakufuru mno..
Sure.. Ila Dada zetu mjifunze kuridhika..Sana aisee. Ila kwa yanayowakuta huwa ni funzo kwa wengine.
[emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mie sina maoni ila nataka utupie kapicha ka surgeon aliyemfanyia hivi binti wa watu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madaktari wana dhambiMie sina maoni ila nataka utupie kapicha ka surgeon aliyemfanyia hivi binti wa watu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio wewe kweli?[emoji23] [emoji23]
Hivi huyu surgeon ni kipofu au? [emoji23] [emoji23]
Ukuje nikufanye NartalieSio wewe kweli?
Madaktari wana dhambi
Sura yangu nzuri inanitoshaaUkuje nikufanye Nartalie![]()
Pua kidogo ifanane na ya nguruwe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]after![]()
hahahaahah jamaaani dhambiii... unajicho la ki artistPua kidogo ifanane na ya nguruwe
Ni kweli mapenzi. Lakini nadhani kazi ya muumba ni ya kuacha kama ilivyo, ukijifanya kutaka kujiumba mwenyewe hatima yake ni kama hivyo sasa. Mwili na sura imegeuka kama zombi.Duh watu na mapenzi yao. Kama sio mahaba [emoji16]
Hatari sana hii..!mmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji124] [emoji124]Yaani hata hawafananiii...
Kumbe kalikuwa kazuri tu ila kamekuwa cartoon [emoji16][emoji16][emoji16]before![]()
Hii dunia ina maajabu! Kilakukicha haeshi vituko hahahahahaaa!!!!Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie.
Nini maoni yako
![]()