Wanawake mna kiranga gani?

Wanawake mna kiranga gani?

Siku hizi naingia kuchunga mwenyewe leo nimepumzishwa...naingia viwanja nijichanganye na kina Asprin

Huyo Dr naye kipofu.
Hahahaaa. Hiyo nzuri sana kaka masai karibu.

Ila atakuwa kipofu kweli aiseee. Ila tumlaumu kidogo huenda ikawa ni ajali kazini. Hahahahaaaa.
 
Haaaahahhaa mm nilijua bonto kusoma maelezo kumbe surgery...
Wacha tu shoga yaani kuna vitu kwa kuviwaza akilini vinakuwaga vyepesi ila kimatendo vinakuwaga bahati nasibu na vitu vyenyewe ndio kama hivi sasa.

Na kwa jinsi kalivyo kadogo kana safari ndefu sana ya mpaka kajikubali. Hahahahaaaa.
 
4df200e929f6a711fbfff55e1e9b2e5a.jpg
before after
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Kweli ana kiranga!
 
Nadhani hayo ndio matumizi sahihi ya pesa yake kukosoa uumbaji na hayo ndio malipo stahiki kwake [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Wacha tu shoga yaani kuna vitu kwa kuviwaza akilini vinakuwaga vyepesi ila kimatendo vinakuwaga bahati nasibu na vitu vyenyewe ndio kama hivi sasa.

Na kwa jinsi kalivyo kadogo kana safari ndefu sana ya mpaka kajikubali. Hahahahaaaa.
Ndo baaaaasii tena kalaghabao na ubonto wakee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwa nasikia ukifanya hizo mambo ukizeeka hivyo viungo huwa vinamomonyoka, yani unaweza shangaa Mara paap Kalio moja limedondoka, hujakaa vizuri Shavu la kushoto nalo limeshuka sijui nikweli???
 
Back
Top Bottom