Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Ukiombwa hela ya kusukia usiwe mwepesi kuituma au kuitoa fasta. Mzungushe kidogo au sana anuneee ndo umpe,nywele zitadumu kwa wiki moja au mbili hivi.

Ukiwa fasta kuitoa hatakua na uchungu nayo maana si atafumua na ATM upo utazitoa nyingine
mmmh jaman sa kwnn nimzungushe akat n mpenz wangu.? enway lkn kw vyvyte vile bado angefanya alchofanya
 
Hope ameelewa..Btw aliyekwambia ikisimama inauma nani??
 
Itakuwa unazo hela za kugawaa babaa...!! 50 ndani ya week kafumuaa..??? Endelea kuhonga tu alafu unakuja huku unaliaa... Wanawake bhana unavyomua approach siku za kwanza ndivyo atakavyoishi na wewe. Ukienda kwa gia ya helaa utachunwa mpaka ushangaee.. Ukienda kama unataka mtunzane mpaka ndoa atakutunzia wewe huku wenzako wanamlaa kama malayaa vilee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…