Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Kwani huwa zinakaa siku ngap kichwani
Hata siku tano au saba siku moja tu kuna siku nilitamani nilie kiukweli nimeombwa hela ya kusuka yaani kasukwa karibia siku mbili kakaanazo siku moja tu kafumua nilimwambia kuanzia Leo tusiombane hela za kusuka wala saloon
 
Kweli kabisa ulichoongea
 
Lazima kutakuwa na sababu tu, wanawake huwa si wepesi kufumua nywele kwa siku mbili tu, alfu ukizingatia ni za bei kubwa kama izo, elfu hamsini ni parefu... Nywele kukaa nazo mdada mwsho wiki 2 tuuu...ukiongeza apo untft kukatika kwa nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…