Wanawake mna roho ngumu sana

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,593
Reaction score
6,754
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.

Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.

Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.

[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.

Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
 
Ngoja niweke Kambi hapa kwa huu mtanange...
 
 
Mbukwaa wengi wachafu buda
 
Maisha magumu wacha wabet mkuu
 
Mie I like you and you like me so I am coming to see you official hatuji kichwa kichwa tunajipanga with hali halisi so kama utazingua basi mtu atalala guest end then next day anarudi kwao au ndio anaumia kitafuta kazi huko huko na anapanga na ndio mwanzo wakuishi geto ujue tu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…