Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.
Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.
Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.
[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.
Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.