Wanawake mna tatizo gani ?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Ni kwanini mnapenda kuomba vitu vya watu tukiwaazimisha hamtaki kurudisha mñaanza mañeno ya kuudhi
1.nilimuazima charger ya pc akakaa nayo kama miezi miwili siku moja nikawa na safari nikamtext two days before kuà nitaihitaji hiyo charger safarini so aniletee akasema anaitumia ataleta kesho yake mchana hakuleta ilipofika usiku nikamkumbusha akasema ataleta by saa sita usiku ili kesho yake niende nayo hakuleta pia.alfajiri nikampigia hakupokea simu na siku nzima hakujibu so nilisafiri bila charger.nulipofik nilipokua naenda nikamtext why hakuleta akajibu alileta sikuepo.seriously unajua naondok saa 12 afu unalet saa moja ? Japo sikuamini kama alilet

2.nilikutana nae she is a friend .akaniomba sana nimuazime pesa atanipa after one week nikampa sababu alinibembeleza sana .juzi nimemtext baad ya week 3 kupita nikamwambia naimba unitumie ile pesa nina shida sana.akajibu hela yako nitakupa bana nikajibu sawa.zimepita siku mbili sikumkumbusha leo amenutext kua hajapata mpesa yuko mbali na mpesa.nikajibu poa utaituma kwenye namba yangu ya voda.amenijibu kua"ndio maana sipendi kukopa coz sipendi ma kero ya kudaiwa" nimejiskia vibaya sana ametuma ma text mengi ya kipuuzi

Hivi kwanini mnapenda kuazima vitu wakati hamuwezi kurudisha ? Mnakujaga mnanyenyekea mkipewa mnajiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waonekana una uso wa huruma, na wa kuvutia kiasi chake.

Kwa asilimia kubwa hapo wadada wamekupenda aka wamekudondokea aka wanataka uwabanjue yaani mbanjuke. Sasa wewe huwaoni wala huanzishi uchokozi ili muishie huko. Na sababu hawataki kukukosa dawa ni kukuazima vitu ambavyo huwezi kuviachilia like kuacha kuwadai, hivo unavowadai wao wanafurahia na hawakirudishii ng’oo ili uendelee kuwatumia msg na kuwapigia.

Ukiwabanjua tuu vitu vyako vinarudi.

Hiyo sio kwa wanawake wote ni baadhi haswa wasioweza kumwambia mwanaume, please fcuk me like the way Kasie tell men who she wants them to fcuk her.

Wote walioko humu ambao nimeshawaambia kuwa njoo au twende tukanjunjane watakuwa ni mashahidi.

Kasie Mahaba.
 
Hahaha kasie you made my day aisee
Sikua na raha but reply yako imenifanya nifurahi.
Kuhusu kuwabanjua walishaumiza sana hisia zangu so hua nawaangalia tu siku hizi .si unajua wengine tukishapewa tu papuchi ndo mapenz yanazidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usiseme hivyo bosi,hata mimi hutanisaidia kweli!!?[emoji22]
Leo asubuhi, nilikuwa kwenye kamgahawa karibu na sehemu yangu ya biashara mara akaja binti ambae tunafahamia akaniomba cm niliyokuwa naperuz jf. nimemaliza kunywa chai kaing'ang'ania nimetoka kwenye mgahawa kabaki nayo Hadi mda wa kwenda kazini ukafika bado anayo ikabidi nitumie nguvu kiasi ya kumpokonya nikaenda zangu, I was very disappointed asubui leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Am happy that I made your day.

Smile always and enjoy your life.

Kasie.
 
Alikuwa ab
pole sn bosi! mtuvumulie tu
 
Mkuu
Kumbe hii tabia inatukuta wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…