Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ni kwanini mnapenda kuomba vitu vya watu tukiwaazimisha hamtaki kurudisha mñaanza mañeno ya kuudhi
1.nilimuazima charger ya pc akakaa nayo kama miezi miwili siku moja nikawa na safari nikamtext two days before kuà nitaihitaji hiyo charger safarini so aniletee akasema anaitumia ataleta kesho yake mchana hakuleta ilipofika usiku nikamkumbusha akasema ataleta by saa sita usiku ili kesho yake niende nayo hakuleta pia.alfajiri nikampigia hakupokea simu na siku nzima hakujibu so nilisafiri bila charger.nulipofik nilipokua naenda nikamtext why hakuleta akajibu alileta sikuepo.seriously unajua naondok saa 12 afu unalet saa moja ? Japo sikuamini kama alilet
2.nilikutana nae she is a friend .akaniomba sana nimuazime pesa atanipa after one week nikampa sababu alinibembeleza sana .juzi nimemtext baad ya week 3 kupita nikamwambia naimba unitumie ile pesa nina shida sana.akajibu hela yako nitakupa bana nikajibu sawa.zimepita siku mbili sikumkumbusha leo amenutext kua hajapata mpesa yuko mbali na mpesa.nikajibu poa utaituma kwenye namba yangu ya voda.amenijibu kua"ndio maana sipendi kukopa coz sipendi ma kero ya kudaiwa" nimejiskia vibaya sana ametuma ma text mengi ya kipuuzi
Hivi kwanini mnapenda kuazima vitu wakati hamuwezi kurudisha ? Mnakujaga mnanyenyekea mkipewa mnajiona
Sent using Jamii Forums mobile app