Wanawake mna tatizo gani ?

Bob hapo potezea fanya kama umedondosha tu hawa viumbe yani wako very complicated

Wapole wanavyokopa na wanaushawishi sana kiasi kwamba kumkunjia kazi na ndio maana benki inawatumia sana wanawake kuhamasisha watu wakope

Sent using unknown device
 
Kuna Mdada hapa home(nimepanha) huwa anakusanya pesa ya umeme..sasa kila nikimpatia pesa kubwa 5K au 10K anechelewesha kurudisha chenji.. na nikiomba hiyo chenji Mdada anavimba kwa hasira..Huwa simuelewi kabisa.

#Muungwana_John
 
Alikuwa ab

pole sn bosi! mtuvumulie tu
Binti tu wa hapa kitaa, asante ila wanawake ni ovyo sana, Jan. Kuna dada nilimuazima charger ya smart phone. Kilichotokea kila nikitaka kucharge sm nampelekea dukani kwake anichajie kunipa charger hataki almost week tatu zikapita nikamuekea ngumu simuombi Charger wala sipeleki sm dukani kwake wal siongei nae, ndio akanipa lakini from there then mawasiliano yetu sio mazuri till now,
 

Asee
 
Haya mambo huwa yana mengi sana.

Niliwahi kuwa nawaazimisha pesa na vitu wanawake ikawa taabu sana, hadi girl friend wangu akawa ananifikiria tofauti kabisa kutokana na simu zao.

Uwe na kiasi bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anangangania mali isio yake, Sijui wakoje..kuna hata wanaume ukimkopesha hela harudishi Njopino
In short human being sio kiumbe salama katika Karne hii, kuna mtu nilimkopesha bidhaa mwaka jana hakunilipa, nilichoamua mwaka huu Feb. nikamfata na kumwambia bidhaa baki nayo na ela sikudai huwe na Amani.
 
Hawa watu bana.hii tabia imekua fashion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…