The movie was over sterling kafa kwenye majaniNiliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
Hapo picha limekwisha ha ha haThe movie was over sterling kafa kwenye majani
Umeniua mwanangu...hio ndio ile unakaa kwenye gari tinted na kusubiria ukiona ni kimeo tu....cm off nakuondokaEti Ukimtongoza anakuambia naomba nikuone
kwanza ndo nikupe jibu nimekubali au sijakubal hivi
uoni kama unajiharibia mwenyewe ukimuona alafu
wewe ukawa Kimeo unadhani atahitaji jibu tena?
wewe kubali kabla yakuonana coz hata kama
utakuwa Kimeo hata weza kukukataa itabidi akuchukuwe hivyo hivyo.....!!!
Malizia mkuuNiliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
Kilichofuata bilashaka ni Tetemeko kuu baina yenuNiliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
Aisee nilishawahi kuingia mkenge baada ya kuniita first meeting, kufika nikamkuta yupo na kundi la team yake ya netbol, sasa ile natokeza tu lile kundi la wanawake likaanza kuninyooshea vidole....Ila hyo pata potea aisee maana unaweza kukutana na mtoto mtamu mpka. Mwenywe ukajikataa kuna wengne sasa doooohh......
Ila dunia ya social network hii sikubal aisee kukutana bfore kujua sura yako ikoje
Kuna demu wa ovyoovyo tu alikuwa amemzimikia mshkaj wangu sasa akawa ananiomba nimkutanishe nae, nikaona isiwe kesi kwavile demu ananisumbua sana ikabidi nimpange mshkaj nimwambie Kuna bonge la demu limekukubali na kesho anataka muonane, mshkaj kuskia vile akawa na hamu amuone..Umeniua mwanangu...hio ndio ile unakaa kwenye gari tinted na kusubiria ukiona ni kimeo tu....cm off nakuondoka
Hahahah... ulijihisi kama mfungwa anavyolitoroka gereza hahaAse me kuna mmoja niliwrong number basis tukawa marafiki kwa kuchat sikumoja akaniita mahali ili tujuane doo nilivyompimia kwa mbali ilibidi nizime simu afu nikapita mbele yake akusanuka ase ili bidi nitimue mbiooo coz .....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Niliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
Ha ha ha ah asiku nyengine unawah uwanja wa mapambano mapema mkuu.... nashukuru wote ambao nlikutana nao mungu aliwapa upendeleoAisee nilishawahi kuingia mkenge baada ya kuniita first meeting, kufika nikamkuta yupo na kundi la team yake ya netbol, sasa ile natokeza tu lile kundi la wanawake likaanza kuninyooshea vidole....
Daah Ile siku siisahau
ha ha ha ha h pole kijana sasa ikawaje ulikimbia mashindano au mfuko ulitobokaAsee nilijuta, si unaijua team ya netbol na vijisketi vyao? Full ushangingi