Wanawake mnachekesha sana

Wanawake mnachekesha sana

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Eti Ukimtongoza anakuambia naomba nikuone
kwanza ndo nikupe jibu nimekubali au sijakubal hivi
uoni kama unajiharibia mwenyewe ukimuona alafu
wewe ukawa Kimeo unadhani atahitaji jibu tena?
wewe kubali kabla yakuonana coz hata kama
utakuwa Kimeo hata weza kukukataa itabidi akuchukuwe hivyo hivyo.....!!!
 
Niliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
The movie was over sterling kafa kwenye majani
 
Ila hyo pata potea aisee maana unaweza kukutana na mtoto mtamu mpka. Mwenywe ukajikataa kuna wengne sasa doooohh......
Ila dunia ya social network hii sikubal aisee kukutana bfore kujua sura yako ikoje
 
Eti Ukimtongoza anakuambia naomba nikuone
kwanza ndo nikupe jibu nimekubali au sijakubal hivi
uoni kama unajiharibia mwenyewe ukimuona alafu
wewe ukawa Kimeo unadhani atahitaji jibu tena?
wewe kubali kabla yakuonana coz hata kama
utakuwa Kimeo hata weza kukukataa itabidi akuchukuwe hivyo hivyo.....!!!
Umeniua mwanangu...hio ndio ile unakaa kwenye gari tinted na kusubiria ukiona ni kimeo tu....cm off nakuondoka
 
Niliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
Malizia mkuu
 
Ase me kuna mmoja niliwrong number basis tukawa marafiki kwa kuchat sikumoja akaniita mahali ili tujuane doo nilivyompimia kwa mbali ilibidi nizime simu afu nikapita mbele yake akusanuka ase ili bidi nitimue mbiooo coz .....
 
Kilichofuata bilashaka ni Tetemeko kuu baina yenu
 
Ila hyo pata potea aisee maana unaweza kukutana na mtoto mtamu mpka. Mwenywe ukajikataa kuna wengne sasa doooohh......
Ila dunia ya social network hii sikubal aisee kukutana bfore kujua sura yako ikoje
Aisee nilishawahi kuingia mkenge baada ya kuniita first meeting, kufika nikamkuta yupo na kundi la team yake ya netbol, sasa ile natokeza tu lile kundi la wanawake likaanza kuninyooshea vidole....
Daah Ile siku siisahau
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Umeniua mwanangu...hio ndio ile unakaa kwenye gari tinted na kusubiria ukiona ni kimeo tu....cm off nakuondoka
Kuna demu wa ovyoovyo tu alikuwa amemzimikia mshkaj wangu sasa akawa ananiomba nimkutanishe nae, nikaona isiwe kesi kwavile demu ananisumbua sana ikabidi nimpange mshkaj nimwambie Kuna bonge la demu limekukubali na kesho anataka muonane, mshkaj kuskia vile akawa na hamu amuone..
kesho yake baada ya kukutana mshkaji akanifata home amevimba kwa hasira na lawama kibao.....
 
Ase me kuna mmoja niliwrong number basis tukawa marafiki kwa kuchat sikumoja akaniita mahali ili tujuane doo nilivyompimia kwa mbali ilibidi nizime simu afu nikapita mbele yake akusanuka ase ili bidi nitimue mbiooo coz .....
Hahahah... ulijihisi kama mfungwa anavyolitoroka gereza haha
 
Niliwahi tumia namba ngeni ili nimtongoze demu wangu akaanza niuliza namba yangu umetoa wapi? Baada ya kumpiga sana saund akanambia mpaka tuonane kilichofata baada ya kuonana ............ ....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Aisee nilishawahi kuingia mkenge baada ya kuniita first meeting, kufika nikamkuta yupo na kundi la team yake ya netbol, sasa ile natokeza tu lile kundi la wanawake likaanza kuninyooshea vidole....
Daah Ile siku siisahau
Ha ha ha ah asiku nyengine unawah uwanja wa mapambano mapema mkuu.... nashukuru wote ambao nlikutana nao mungu aliwapa upendeleo
 
Asee nilijuta, si unaijua team ya netbol na vijisketi vyao? Full ushangingi
 
Back
Top Bottom