ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Kwani usingeweka tu hiyo 'bro' ungeniharibia swaumu?🤣🤣🤣🤣 ewaaaaa i love u bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani usingeweka tu hiyo 'bro' ungeniharibia swaumu?🤣🤣🤣🤣 ewaaaaa i love u bro
HapanaDada umeolewa?
Bora umekuwa mkweliMnatuchanganya...mnataka magolikipa au wapambanaji?
Tukipambana, ni chakula ya pipo huko vitani....tukitulia, tumejibweteka tunawatagemea....bora Masihi arud tukastarehe kwa baba yetu...
Ujue Eve mie sijawahi pishana na post zako tano halafu moja isinichekeshe. LolTunawasaidia kuwapikia, kuwafulia, kuwaliwaza mkiwa na mawazo, na mambo mengine mengi....
Ila kuwasaidia kula kwa jasho ni kutuonea 😭😭😭😭😭 nimelia sana
Tumeumbwa kutumia hela zao🤣
Natuma posa kwenuHapana
Kwa hiyo mzee baba umekuwa kungwi? damnMwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu.
Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana kuondoa Unyonge na utegemezi kwa mwanaume na wa naishi afu Safi tu.
Pambania ndoto na malengo yako mbona unandoto na malengo makubwa ya kusonga mbele kimaisha tamaa ndogo ndogo zisikudhalilishe na kukushushia hadhi we mtu mkubwa.
Sawa umeolewa usitegemee mumeo akuletee kila kitu pambana mahitaji madogo madogo yasikupige chenga.
Ukiona mumeo anakukataza kujishughulisha na Mbishe yeyote piga chini uyo ana ego wanataka kuku control Ata akipuyanga umkalie kimya sababu yeye ni provider wa Kila kitu.
Kwamba bila yeye hauendi chooni how come zinduka mtoto wa kike chakalika pambana uwe na kwako we vipi.
KaribuNatuma posa kwenu
Nije inbox auKaribu
kuleta posa bomani mkuuNije inbox au
na wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana kuondoa Unyonge na utegemezi kwa mwanaume na wa naishi afu Safi tu