DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Ndugu yangu wauza k Mpaka nchi zilizoendelea wapo. Sio indication ya umaskini ni tabia ya mtu ambaye anapenda apate hela Kwa njia ya shortcut. Hata USA kuna majambazi yanavamia na kuiba. Netherlands nchi tajiri kwbisa wauza k wapo pale Amsterdam.Pattaya, Phuket na Bangkok Kwa Thailand, nenda pia Singapore nchi ndogo halafu tajiri balaa redjeneiro Brazil, wauza k wapo , Kuala Lumpura Malaysia, Bali Indonesia, . Wauza k wapo nchi zote . Ni watu wanaotaka kupata hela Kwa njia ya shortcut. Hawakosekani ktk ulimwengu huuUkiona wauza k kama unavyowaita ni wengi, omba omba nao ni wengi basi hizo ni indiketa kuu za umasikini. Mkuu jikite hasa kwenye uchunguzi wa kwa nini kuna ongezeko kubwa la wauza K ndio utaweza ku solve problem. Kuna nchi kutokana na wingi wa watu na ukosefu wa kazi kuuza K inasomeka kuwa ni kazi kama zilivyo kazi zingine hoja kuwa usifanye hadharani tu. Tuumize akili kidogo kwa nini kuna ongezeko kubwa la wauza K na ombaomba Tz?. Tufungue mjadala.
Sent using Jamii Forums mobile app