Dah! Hili nalo neno! Ila nadhani inaaply kwa wote. Hata mwanaume anayeongea hovyo naye si mzuri.
huwa unafikiria nini kongosho? Maana nahic Bujibuji kaka ako dah..
mj1 kuna wanaume wengine wanaongea mpaka wanaanza kuongea pointless
Speak for yourself.Wengine tuna mambo ya maana kuongea daily.kuna huu usemi wa mwalimu wangu wa sekondari : "98% of what we talk daily is about other people's lives and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% percent to talk in a day". Na hapa ndipo hoja ya mtoa uzi inapokuwa na mashiko.
kuna huu usemi wa mwalimu wangu wa sekondari : "98% of what we talk daily is about other people's lives and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% percent to talk in a day". Na hapa ndipo hoja ya mtoa uzi inapokuwa na mashiko.
Kakondoo usikubali kudanganyika?Amini nakwambia, wewe unaweza kujiona/muona mtu flani ana staha kwenye maongezi yake lakini wakati huo huo/siku nyingine wenzako/wewe huyohuyo ukachukulia pumba!! Kwa context ya mtoa maada........hujaniconvice bado!!!
kuna huu usemi wa mwalimu wangu wa sekondari : "98% of what we talk daily is about other people's lives and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% percent to talk in a day". Na hapa ndipo hoja ya mtoa uzi inapokuwa na mashiko.
kwa kweli naboreka sana na mwanamke anaeongea saaana....kila kitu atataka aongee wakati mwingine pumba!
sijui niiwekeje nieleweke nataka kumzungumzia mwanamke wakati gani ila kuna wanawake wanapenda au hujikuta wanaongea saaana hasa anapokua na jinsia ya kiume.....its more than being charm and friend...
akiona mtu au watu ashaongea...huwa inauhusiano wa karibu sana na ucharuko
mtoto wa kike shurti utulie...uongee kwa nukta.mithil una flu sawa confidence iwepo,,,na uongee na viaibu aibu kdogo..eeh najua wale ambao sio wife materials wataniponda..ila SIPEND WANAWAKE MNAOONGEA SANA..jana mmoja kantoa apetite kbs..full kurukia rukia mada aagrh!!
Kakondoo usikubali kudanganyika?
ila SIPEND WANAWAKE MNAOONGEA SANA..
Thank you BAK......Katafute Wanawake ambao ni mabubu, ila usirudi tena hapa kulalama kwamba hupendi wanawake mabubu bali unapenda wanaoongea. Kila la heri.
Thank you BAK.
Naona unamwaka "Asante" tuu humu. LOL
Hahahaha,anastahili.
Asante.
una mabo weye!Ushawapa wangapi mpaka sasa??
Ni pm na mm niipate maana naitafuta kweliii
Husn Husn jamani nimekumisooooo,TF anaendeleaje?maana nasikia jana kaonekana hoi anafakamia mataptap uwanja wa fisi manzese.Acha tuongee midomo isinuke. Lol