wanawake mnaoongea sana hovyoo

wanawake mnaoongea sana hovyoo

Kila mtu ameumbwa na characteristics zake, ukiona anaongea sana kaa mbali nae wala usimsemeshe. Ni sawa na mtu anaelalamika eti vuvuzela lampigia kelele ilihali kalinunua mwenyewe na kulipuliza!! Wakati huo analipuliza huku anashabikia raha za mpira zimemnogea ila akifungwa ndo anageuka mbogo!!! Whaaayiiiiiiiii
 
kuna huu usemi wa mwalimu wangu wa sekondari : "98% of what we talk daily is about other people's lives and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% percent to talk in a day". Na hapa ndipo hoja ya mtoa uzi inapokuwa na mashiko.
 
Speak for yourself.Wengine tuna mambo ya maana kuongea daily.
 
kuna huu usemi wa mwalimu wangu wa sekondari : "98% of what we talk daily is about other people's lives and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% percent to talk in a day". Na hapa ndipo hoja ya mtoa uzi inapokuwa na mashiko.

Amini nakwambia, wewe unaweza kujiona/muona mtu flani ana staha kwenye maongezi yake lakini wakati huo huo/siku nyingine wenzako/wewe huyohuyo ukachukulia pumba!! Kwa context ya mtoa maada........hujaniconvice bado!!!
 
Kakondoo usikubali kudanganyika?
 
sasa kama ingekuwa kinyume na hapo, si tungempruvu rong mwalimu wako?
Furahia maneno ya ticha wako ya ukweli.

kuna huu usemi wa mwalimu wangu wa sekondari : "98% of what we talk daily is about other people's lives and if we decide not to talk about others, we shall have only 2% percent to talk in a day". Na hapa ndipo hoja ya mtoa uzi inapokuwa na mashiko.
 
kwa kweli naboreka sana na mwanamke anaeongea saaana....kila kitu atataka aongee wakati mwingine pumba!

sijui niiwekeje nieleweke nataka kumzungumzia mwanamke wakati gani ila kuna wanawake wanapenda au hujikuta wanaongea saaana hasa anapokua na jinsia ya kiume.....its more than being charm and friend...

akiona mtu au watu ashaongea...huwa inauhusiano wa karibu sana na ucharuko

mtoto wa kike shurti utulie...uongee kwa nukta.mithil una flu sawa confidence iwepo,,,na uongee na viaibu aibu kdogo..eeh najua wale ambao sio wife materials wataniponda..ila SIPEND WANAWAKE MNAOONGEA SANA..jana mmoja kantoa apetite kbs..full kurukia rukia mada aagrh!!

Nafikiri ni kawaida kwa mwanamke kuongea sana. Mwanaume kazi yake ni kusikiliza. Wanawake wanaongea mara tatu zaidi ya wanaume. Mwanamke wa kawaida anaweza kuongea hadi maneno 20,000 kwa siku wakati mwanaume wa kawaida anaongewa hadi 13,000 kwa siku. Wanawake wanaongea haraka. Wanadevote cells nyingi za ubongo kwenye chit-chat. They get a buzz out of hearing their own voices. Hiyo ni nature yao na inabidi uikubali kama ilivyo. Otherwise, men will never understand women.

Ni sawa na wanaume wanavyofikiri sex muda mwingi. So, while men have an international airport for dealing with thoughts about sex, women have an airfield nearby that lands small and private planes. LOL.
 
  • Thanks
Reactions: JS
ila SIPEND WANAWAKE MNAOONGEA SANA..

.....Katafute Wanawake ambao ni mabubu, ila usirudi tena hapa kulalama kwamba hupendi wanawake mabubu bali unapenda wanaoongea. Kila la heri.
 
.....Katafute Wanawake ambao ni mabubu, ila usirudi tena hapa kulalama kwamba hupendi wanawake mabubu bali unapenda wanaoongea. Kila la heri.
Thank you BAK.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom