wanawake mnaoongea sana hovyoo

wanawake mnaoongea sana hovyoo

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
kwa kweli naboreka sana na mwanamke anaeongea saaana....kila kitu atataka aongee wakati mwingine pumba!

sijui niiwekeje nieleweke nataka kumzungumzia mwanamke wakati gani ila kuna wanawake wanapenda au hujikuta wanaongea saaana hasa anapokua na jinsia ya kiume.....its more than being charm and friend...

akiona mtu au watu ashaongea...huwa inauhusiano wa karibu sana na ucharuko

mtoto wa kike shurti utulie...uongee kwa nukta.mithil una flu sawa confidence iwepo,,,na uongee na viaibu aibu kdogo..eeh najua wale ambao sio wife materials wataniponda..ila SIPEND WANAWAKE MNAOONGEA SANA..jana mmoja kantoa apetite kbs..full kurukia rukia mada aagrh!!
 
Unashangaza, au ndo nyie mnaoogopa wanawake wanaojua mambo mengi kwa hofu ya kuumbuliwa?

Napenda kuongea na napenda kusikiliza kwasababu napenda majadiliano na wala sina mpango wa kupnguza chochote. Huo uwaifu matirio mnaopima kwa namba ya maneno utawapeleka kusiko.
 
Unashangaza, au ndo nyie mnaoogopa wanawake wanaojua mambo mengi kwa hofu ya kuumbuliwa?

Napenda kuongea na napenda kusikiliza kwasababu napenda majadiliano na wala sina mpango wa kupnguza chochote. Huo uwaifu matirio mnaopima kwa namba ya maneno utawapeleka kusiko.

Nadhani hujamuelewa huyu..
 
Dah! Hili nalo neno! Ila nadhani inaaply kwa wote. Hata mwanaume anayeongea hovyo naye si mzuri.
 
mtoto wa kike shurti utulie...uongee kwa nukta.mithil una flu sawa confidence iwepo,,,na uongee na viaibu aibu kdogo..
Ahahaha, ndugu yangu hapa umenifurahisha, hii tunaita Message sent & Delivered.
 
Kumbe unafikiri, mi nlidhani unajua. . .?
Neway kama angekua hajaandika hiyo para ya mwisho ningekubaliana na wewe.

Ndivyo nilivyomuelewa huyu mtoa mada..

Hiyo para ya mwisho inashida gani?

Mwanamke anayeongea kwa stara anapendeza siyo kurukia rukia mambo
 
Hivi kuna SI unit ya mtu kuongea sana kujua kama kachemka au ni akili yako tu inakutuma huyu kachemka?

Be specific ili hata conclusion iwe specific, kusema tu wanawake wanaongea sana hakutoshi kuwaingiza hatiani.
 
angesema hapendi show off
kwa sie tulozoea kuongea afu msikilizaji achambue kinachomhusu?

Kweli tafuta bubu
 
Kuruka nayo ni style au wewe wapenda kutambaa tu?

Ndivyo nilivyomuelewa huyu mtoa mada..

Hiyo para ya mwisho inashida gani?

Mwanamke anayeongea kwa stara anapendeza siyo kurukia rukia mambo
 
Back
Top Bottom