SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Juzi nilileta uzi hapa swala la wanawake kutembea haraka na kuwasababiasha kutukosa mabwana wa maana.
Kama kawaida bado naendelea kutafuta mwanamke wa ndoto zangu taratibu ila napotafuta lazima niwaletee mawili matatu nayokutana nayo ili wakujifunza wajifunze
Hapa katikati nilifahamiana na binti flani mrembo anaeonekana yupo smart na ana heshima na namba yake niliipata sehem kuna Duka la vyombo kigamboni, tukaingia penzini ila penzi linaenda mwezi wa tatu nimeonana nae mara moja tu tena alikuwa anatoka kazini jioni na jumapili zote ansema yupo na mama yake nyumbani anassma mama yake ni mkali hataki atoke ,na na siku za kazi anaongozana na mama yake maana ndio mwenye lile Duka so anasadiana nae kazi.
Hapo ana miaka 28, anasema mama mkali kutoka hawezi kama vipi nije kwao nitoe barua nimuowe tuwe huru
Nikasema kheee??!! Nawezaje kuja kuleta Barua kwa binti ambae hata kukutana tu ni mara moja tena barabarani yaani mahusiano ya kwenye simu ndio nilete barua,nikamuuliza hata ingekuwa wewe ungeweza? Nikamuuliza Unaweza kwenda kununua Gari pasipo kutesi au unaweza kununua nguo pasipo kuijaribu kuwa ni size yako ukiuziwa mdosho je?
Hapo Tayari kwa miezi mitatu alishakula kama laki tisa yangu nikauliza sasa uliwezaje kuomba hela na vitu vya thamani kwa mwanaume ambae hajakuowa siungemuomba mama yako akupe nikapata na hasira
Nikamwabia kwa umri aliokuwa nao akiendelea kusema mama ananibana sijui mama ni mkali hakuna mwanaume atakuja kumuowa hadi anafikisha miaka 40 atazeekea kwa mama yake maana pale tayri 28,
Kiuhalisia siku hzi hakuna mwanaume anaweza kuowa mwanamke ambae hajala mzigo kuthibitisha yaliyomo yamo, kama amekeketwa je utajuaje, hata wanawake nao.skuizi lazima watesti urijali kwanza wa mwanaume ndio waingie kwenye Ndoa hakuna mambo ya kwenda kutestia kwenye ndoa siku hizi.