Wanawake mnaovaa hivi vipedo acheni mnapoelekea sio pazuri

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Dunia imeenda kasi sana yaani viskirt tight leo hii imekuwa Ni fashion?si nguo za ndani hizi mnavaa mpaka mjini barabarani hamna aibu msichokijua Ni kuwa wanaume tunapenda wanawake wanaojisitiri kiheshima nyie wa kisasa tunapiga na kuacha tu

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kama mazuri, ndo usasa jamani
 
Af utu tu dude tulikua tunavaliwa ndani miaka miwil nyuma..

Jana maeneo ya goba wakat nanunua mahitaj jion mdada na mama ake wote wamevaa hvo vidude..mama cheus dada cheupe

Ila ukiona mwnaamke anavaa hvo ujue msafi

Mi napenda kumwona mwanamke kavaa hivo ila sio demu wangu avae..marufuk
 
Kwa nini?

Huoni akivaa anakuwa ukisasa. Rafk zako watakucheka.
 
We msafi wapi!Juzi kati nimemuona mmoja kavaa cheusi ana-mabakabaka kama ya KENGE,NI SHIDA BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…