Wanawake mnaovaa hivi vipedo acheni mnapoelekea sio pazuri

Hata wimbo wanguvu za kiume tatizo ni hilohilo. Kitu unakiona kila siku hata ukitengewa ukila kidogo tu hamu inakata. Siku hizi hata wanaobaka vichochoroni nawashangaa
 
Rudi shamba dege wewe,mabinti nawasihi endeleni kutupa burudani msibabaike tembeni vifua mbele
 
Kha!kha!
 
[emoji848][emoji848] hivi ni lini mwanaume ataanzisha uzi humu jf wa kuwaambia wanaume wenzie waache kufanya hiki na hiki kwa sababu ni kibaya ila wafanye hiki na hiki kwa sababu ni kizuri ??
 
Daaa!! Nimeshangaa sana. Mambo haya Mikoani yalikuwa hakuna kabisa!!
Siku hizi mpaka Wanyakyusa wanavaa hivyo! Duu! ajabu kweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ukajiulizaje?
Wallahi...nilikua na drive nikamuona mdada kavaa hicho cheupe..na tshirt nyeupe...na kibengi mgongoni ...nilishangaa Sana.

Nikasema Mimi Sasa imefika mahala nashangaa mavazi ya vijana?...Basi Uzee/utu uzima umenifika...Wacha nifanye IBADA KIFO HAKIKO MBALI.
 
Ni mengi tutaona zaidi ya tuyaonayo sasa acha vyuma viendelee kukaza.
 

Tujikumbushe enzi zako za ujana
 
Naomba lift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…