Wanawake mnapenda vya bure

Wanawake mnapenda vya bure

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
560
Reaction score
845
kuna binti nilikuaga nakakamata kuna siku kalini pigia simu "hallo wapi now upo" nika mjibu nipo hapa pub napata nyama choma kikajibu fasta "oooh wait nakuja nimekumic ujue mwenziooo nakupendaga"

After 10 min ;kikanipia tena hey dear ndio napanda bodaboda hapa umesema upo maeneo gani
Nika mwambia nipo getto hapa nimetulia

Kikanijibu; ooh dear sorry my daddy umerudi now ndio namfungulia geti sorry baadae ntakuchek ?alafu mummy ananiita ndani ??uhuu?? kikakata simu ,,,,,,,,,,,,,,,,,
ukikapotezeeea sasa utasikia
"Wanaume wa
siku hizi hambebekiiii hata
mkibebwa Vp Jamani?

Hivi wanaume wa zamani wameishaa?
wakina Kingunge,
, Mugabe, Museveni,
Jangala....

Kina dada tutakeni radhi ooohoo akuna vya bureeee
 
kingunge??mtake radhi mzee..sipendagi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom