Wanawake mnapovaa huwa mnamlenga nani hasa?

Wanawake mnapovaa huwa mnamlenga nani hasa?

una maana gani wanawake wanapovaaa?
au ulimaanisha wanapopendeza machono pako?

MAnake naona topic haina jibu moja, kama ailvyosema mmoja hapo juu.
Wanawake tunavaa kutegemeana na wakati, ila unavyotuona unajua mwenyewe, mimi mfano nikivaa suruale kwa kuwa nasafiri, sitaki bugudha ya sketi, wewe utaweza kuona nakutega, au ninapovaa hijabu utasema nakutega ili unfuatilie ndani nina nini,

Ila wanawake tunavaa ili
- kujisitiri na hali ya hewa na mazingira, mfano singlendi, sweater, suruale, nk
- kuweza kufanya shughuli inayotakiwa kwa ufanisi, mfano manesi, madereva, mafundi nk
- kuonyesha hisia za ndani mfano- niko kikazi zaidi, tafadhali niheshimu, tafadhali nunua hii bidhaa, tafadhali ona urembo wangu lakini niheshimu, usiniogope, japo mzuri sana lakini karibu, nk

Sasa wewe utaionaje singlendi yangu au hijabu yangu, kutokana na akili yako na umbo langu hilo swala jingine.

unahitaji zaidi nani akuhisi uko special ni mwanamke mwenzako au??
 
women wanavaa kwa ajili ya kuonyeshana wao wenyewe zaidi....

kushikishana adabu....

Mi sijui kama nakushikisha adabu ila hua navaa ili wewe ufurahi na wenzako wakuonee wivu!!
 
comfortability,confidence,respect and my dignity!!!
 
tunavaa ili kujistili na tunavaa nguo fashion tofauti ili kwenda na wakati na wala sio ili kuwavutia wanaume kwani wapo wanaopendwa na hawana viwalo hivyo so tunavaa kufurahisha roho zetu
 
uchi sio ishu sana ni kitu ambacho kinajulikana sana swala that decent dressing ar u real which attention ?? Man, woman or ur personal.

Me ,me and me
It's all about me..
I like to impress my self
 
Back
Top Bottom