Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Naomba niende moja kwa moja kwenye point bila hata salamu.
Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je, wanawake mnataka nini? Mmetusisitiza sana tutafute hela lakini wenye pesa zao hao wakina Masanja bado wanachapiwa.
Pesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi la kongo, supu ya pweza n.k, ili tu kuwaridhisha. Tumeingia gym kutengeneza six packs, tumeamua kuwa gentlemen lakini hajatosha kuwatuliza.
Mnasema mnataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini ndiyo hivyo mpaka mke wa mchungaji anachepuka tena na katibu wa kanisa hilo hilo!
Naomba dada zangu wote leo mje hapa tumalize utata.
Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je, wanawake mnataka nini?