Wanawake mnataka nini?

Wanawake mnataka nini?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Naomba niende moja kwa moja kwenye point bila hata salamu.

Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je, wanawake mnataka nini? Mmetusisitiza sana tutafute hela lakini wenye pesa zao hao wakina Masanja bado wanachapiwa.

Pesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi la kongo, supu ya pweza n.k, ili tu kuwaridhisha. Tumeingia gym kutengeneza six packs, tumeamua kuwa gentlemen lakini hajatosha kuwatuliza.

Mnasema mnataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini ndiyo hivyo mpaka mke wa mchungaji anachepuka tena na katibu wa kanisa hilo hilo!

Naomba dada zangu wote leo mje hapa tumalize utata.

Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je, wanawake mnataka nini?
 
Muulize Mwanamke wako anataka Nini si Ku Generalize Mambo..

By the Way usije Ukaoa Mwanamke ukitegemea Kakupenda. Angalia kwanza Ulichonacho ndicho kimemleta

Ukioa Mwanamke ukiwa huna Kitu Unaanza 0 ndio At least unaweza Kumpa Asilimia 10% kwamba Amekupenda. Ila kama Ulikuwa navyo kwa Presha Za Watu ukaoa Jua Unayemuoa Asilimia 100 kakupendea Alivyokukuta navyo

Akishakaa na wewe akapata Uhakika wa Urithi wa mali sasa anaanza Kumtafuta Ampendae Akiwa na Wewe ndani

Yale ni Mashimo yamayopitisha Kichwa cha Mtoto na Kinapita.. Akili za Wanaume wanahisi wanaweza Kumkomoa Kwa Kuingiza Vipisi vya Sigara Mule
 
Pesa......anazo
Hofu ya Mungu.....anayo
Umri..........Safi
Smartness.....Safi
Love........anampa kila kitu
Now what?
 
Kuishi nao Kwa akili don't trust them 100%
 
Pesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi la kongo, supu ya pweza n.k ili tu kuwarishisha, tumeingia gym kutengeneza six packs, tumeamua kuwa gentlemen lakini hajatosha kuwatuliza. Mnasema mnataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini ndo ivyo mpaka mke wa mchungaji anachepuka tena na katibu wa kanisa ilo ilo.
Mwalimu wangu wa Economics Mwakyulu pale Sangu alipokuwa anafundisha birth and mortality rate, population growth and its effect in economy alisema "vijana hamuwajibiki vilivyo, mnatakiwa kusugua mpaka wawaheshimu, siyo kupapasapapasa juu juu tu, shughulikeni mpaka wasahau kwingine
 
Naomba niende moja kwa moja kwenye point bila hata salamu

Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je wanawake mnataka nini? Mmetusisitiza sana tutafute hela lakini wenye pesa zao hao wakina masanja bado wanachapiwa.

Pesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi la kongo, supu ya pweza n.k ili tu kuwarishisha, tumeingia gym kutengeneza six packs, tumeamua kuwa gentlemen lakini hajatosha kuwatuliza. Mnasema mnataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu lakini ndo ivyo mpaka mke wa mchungaji anachepuka tena na katibu wa kanisa ilo ilo.

Naomba dada zangu wote leo mje hapa tumalize utata.. Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je wanawake mnataka nini?
Msijali sana wanawake,ishi nao kwa mkono wa chuma,mtreat mwanamke kama kitu kisicho cha maana sana,ndio maana wazee wa zamani wanawake hawakuwasumbua na waliishi muda mrefu.nyie endeleeni kujifanya mnapenda sana,muone.

Zamani huko hata kwenye biblia wanawake walikua hawahesabiwi,walikua hawachukuliwi kwa uzito mnadhani walikua wajinga?😊
 
Mbebane
Mcheze
Mgombane
Muachane
Mruadiane
Mtukanane
Mrombane Sana


Yaani kila siku mapya ndo anaenjoy
 
Msijali sana wanawake,ishi nao kwa mkono wa chuma,mtreat mwanamke kama kitu kisicho cha maana sana,ndio maana wazee wa zamani wanawake hawakuwasumbua na waliishi muda mrefu.nyie endeleeni kujifanya mnapenda sana,muone.

Zamani huko hata kwenye biblia wanawake walikua hawahesabiwi,walikua hawachukuliwi kwa uzito mnadhani walikua wajinga?[emoji4]
Unajua ni kama nakubaliana na wewe, wanawake ni kama hawapendi uwe good man...uwe kukuru kakara ndo wanataka[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom