Wanawake mnatakiwa kutafakari kwa kila maamuzi unayochukua kwani wakati mwingine huweza kuyajutia.

Wanawake mnatakiwa kutafakari kwa kila maamuzi unayochukua kwani wakati mwingine huweza kuyajutia.

Mwanzo umesema rafiki yako anamke then kabadilika kawa girlfrnd tena.kama wangekuwa ni wanawake wapo kwenye ndoa wala isingekuwa shida ila kama ni hawa vishitobe
 
Kama utani lakini ni story ukweli jana ilikuwa ni birthday ya girlfrnd wangu pamoja na furaha niliyokunayo rafiki yangu kipenzi naye mke wake ilikuwa birthday yako tukaenda kununua keki kama kawaida tukafunga vzr tukaondoka kuelekea nyumban kati zile keki tulikosea tuliweka picha kila mmoja ya girfrnd wake ...wakati wa kuchukua tukakosea yeye akachukua yenye picha ya girlfrnd wangu na mm nkabaki na ile ya picha ya girlfrnd wake ebana wakati wa kufungua imetokea balaa mwanamke hanielewi ameamua kuondoka..rafiki yangu naye girlfrnd wake ameondoka amemweleza ukweli lkn hajamwelewe tunaomba ushauri wenu tutafanyaje? hata cm hawapokei tena..
Which is which, ni Mke au Girlfriend? Hakuna ushauri hapo makosa yenyewe madogo tu wanajifanya kususa... Kama hakuna kingine zaidi vumilieni watarudi tu hao si ni ulimbukeni wa Mapenzi tu huo...Watakapoolewa hakuna muda wa kususa tena
 
Dawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.
Ha ha ha Mkuu umenikumbusha mbali sana...Nimewahi kutumia hii technique nilijifanya nimechukia hakuna kuongea kuanzia asubuhi nikalala tangu saa moja hadi saa 7 mchana. Weeeee alikuwa Mama wa watu akanibembembeleza mpaka nikamwonea huruma wakati kosa lilikuwa la kwangu tena la makusudi. Sometimes inatulazimu kufanya hivyo
 
Heheheeeeeeee..........filamu ya kibongo hiyo, eti true stori.
We ndo umeiona Jana.
 
Sio mbaya umejitahidi kuongeza nyuzi,si unaona tunachangia!
 
kama maigizo kumbe kweli poleni jmn itabidi hao wanawake wakutaanishwe mjadili mkiwa wote wanne
 
Ndio maana tunashauriwa mtu aki-panic unatakiwa umwache kwa siku kama mbili hivi alafu mtafute atakuwa amelia na kutafakari vya kutosha hivyo ukimtafuta kwa kipindi hicho mtaongea lugha moja, sasa nyie marafiki mmeshirikiana kwenye kununua keki kwanini msingemalizia kwa kufanya sherehe kwa pamoja kabisa. Hiyo ni sawa na kuomba kazi alafu ukatuma CV ya mkeo badala ya kwako, ANYWAY POLE SANA
 
maloveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Billie njia yako nimeipenda lazima bibie awe mpole na ataomba msamaha hata kama kosa si lake.
 
Heheheeeeeeee..........filamu ya kibongo hiyo, eti true stori.
We ndo umeiona Jana.

Anatuletea maigizo humu na kujifanya atii True story...
Hii ni filamu ya keki ya b..........y, bila shaka ameiona jana
 
Anatuletea maigizo humu na kujifanya atii True story...
Hii ni filamu ya keki ya b..........y, bila shaka ameiona jana

Kanichekesha..hafu kaangalia wanawake tu, vipi lingemfika mwanaume ingekuwaje? Tena wanaume ndo waarhirika wakubwa wa maamuzi ya haraka.
 
hahaaaaaa,hapo kwenye red umeniacha hoi!

Dawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.
 
Dawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.

hahahahaaa mbavu zangu mie..Billie hii njia yako doesn't work to every woman,hii ukinifanyia mie ndo umejiharibia kwa kweli looh mitusi mie hell no!
 
Back
Top Bottom