by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Which is which, ni Mke au Girlfriend? Hakuna ushauri hapo makosa yenyewe madogo tu wanajifanya kususa... Kama hakuna kingine zaidi vumilieni watarudi tu hao si ni ulimbukeni wa Mapenzi tu huo...Watakapoolewa hakuna muda wa kususa tenaKama utani lakini ni story ukweli jana ilikuwa ni birthday ya girlfrnd wangu pamoja na furaha niliyokunayo rafiki yangu kipenzi naye mke wake ilikuwa birthday yako tukaenda kununua keki kama kawaida tukafunga vzr tukaondoka kuelekea nyumban kati zile keki tulikosea tuliweka picha kila mmoja ya girfrnd wake ...wakati wa kuchukua tukakosea yeye akachukua yenye picha ya girlfrnd wangu na mm nkabaki na ile ya picha ya girlfrnd wake ebana wakati wa kufungua imetokea balaa mwanamke hanielewi ameamua kuondoka..rafiki yangu naye girlfrnd wake ameondoka amemweleza ukweli lkn hajamwelewe tunaomba ushauri wenu tutafanyaje? hata cm hawapokei tena..
Ha ha ha Mkuu umenikumbusha mbali sana...Nimewahi kutumia hii technique nilijifanya nimechukia hakuna kuongea kuanzia asubuhi nikalala tangu saa moja hadi saa 7 mchana. Weeeee alikuwa Mama wa watu akanibembembeleza mpaka nikamwonea huruma wakati kosa lilikuwa la kwangu tena la makusudi. Sometimes inatulazimu kufanya hivyoDawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.
This is cooked story,humu mmu siku hizi kwa uwongo.mwee.
maloveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Billie njia yako nimeipenda lazima bibie awe mpole na ataomba msamaha hata kama kosa si lake.
Wanamme tusitafakari????
Heheheeeeeeee..........filamu ya kibongo hiyo, eti true stori.
We ndo umeiona Jana.
Anatuletea maigizo humu na kujifanya atii True story...
Hii ni filamu ya keki ya b..........y, bila shaka ameiona jana
Dawa yake hapo ni kutuma matusi makubwa makubwa ukilaani uamuzi wake haki ya nani atajirudi wengine ukiapologize wanajua umehusika kufanya uhuni alafu unaomba msamahani we rusha sms za matusi hadi awe saturated nayo ili ajiulize "Mbona amekasirika sana mume wng itakuwa mi ndo mwenye makosa" dawa hii niliitumia kwenye inshu tata kama uliyoipata nikajikuta naombwa msamaha hadi siku ile nililishwa chakula na mke wangu ili hasira ziishe ila kama huna kipaji cha matusi waweza nitafuta pande za PM.